Jaribo la TRUMP kutaka kumkamata KHAMENI, Ulimwengu una cha kujifunza kuhusu RUSSIA

Jaribo la TRUMP kutaka kumkamata KHAMENI, Ulimwengu una cha kujifunza kuhusu RUSSIA

vp kuhusu myahudi yupo katikati ya adui zake wote, kawekwa mtu kati mbona yupo na anaendelea na shughuri zake za kiuchumi hapo, hakuna nywi nywi nywi..
Mkuu Myahudi yupo na ataendelea kuwepo daima. Binafsi ninavyounganisha dots sidhani kama Marekani ataivamia Iran direct. Labda kama atapata support ya mamluki wa ndani wataomsaliti Khemenei kama ilivyotokea kwa Maduro pale Venezuela. Nikirudi kwenye point yako Netanyahu naona anaupa pressure utawala wa Khemenei ila vita na iran is not a joke iran sio iraq wala libya Lakini Khemenei akiingia kwenye 18 za mossad hawamuachi Hawana la kupoteza hawa elites since Sobibo mpaka leo. USA hawezi pigana na Iran halafu Israel ikasalimika ndio maana unaona baadhi ya mataifa ya kiarabu yanakataa kutumika kwa anga,ardhi,maji yao katika vita hii inayonukia sababu wanajua kitachoenda kutokea. Muda utaongea mkuu
 
Shobo tu hizo, hao latino wepesi mno wanawajulia
Pamoja na kuwa na base yake kabisa ndani ya Somalia lakini alishindwa kumkamata General Farah Aididi aliokuwa analindwa na kikosi cha wanamgambo na akachapika haswa
Kwanza mjue alishawahi kujaribu kuingia Iran kuokoa wamarekani mwaka 1980, alishindwa vibaya

1769293497363.png

1769293721023.png
1769293835366.png
1769293512423.png
 
Tayari Manowari za Kivita zenye ndege za kutosha, zimeaanza kuelekea Middle East

Nimesoma source moja, hadi ndege zinazojaza mafuta ndege nyingine angani zimeshasogezwa hapo Middleeast

Kifupi RUSSIA kawasaliti allied wake wote VENEZUELA, CUBA na IRAN.

Sijui Viongozi wa Afrika wanakubaligi kuitwa Moscow kwenye agenda za Mrusi sijui wanaendaga kufanya nini?
‼️🇺🇸🇮🇱🇬🇧🇮🇷 ALL EYES ON IRAN |
THE BUILDUP IS NO LONGER QUIET

⏳ A 36-hour window. Nearly 500 aircraft. A full-spectrum war posture.

Military trackers say the force now positioned around Iran represents one of the largest coordinated U.S. Israeli British deployments seen outside an active war.

✈️ Airpower aimed at Iran (minimum):
• 480+ aircraft across CENTCOM and nearby EUCOM

• 418 fighters & strike jets capable of sustained operations deep into Iranian territory

• 57 tankers/refuelers, the backbone for long-range strike missions

• AEW & ISR assets providing nonstop surveillance of Iranian airspace and defenses

⛽ The tell tale sign, fuel, not headlines:
➡️ 5.37 million pounds of fuel offload capacity
This is not deterrence theater. This is the infrastructure for extended strike operations against Iran.

🛳️ Naval pressure on Iran:
• 1 U.S. aircraft carrier strike group
• 9 destroyers, 2 submarines
• Command, amphibious, expeditionary, and logistics ships
• 1,018 VLS cells capable of launching large salvos

Why Iran is watching closely:
This scale, timing, and multinational alignment do not match routine exercises. Analysts note it mirrors force postures historically seen just before major campaigns, not diplomatic signaling.

👀 Iran. The clock. The weekend.
When markets are closed and assets are in place, decisions, and events, tend to move fast.
 
Mazungumzo yameshindikana. Mpaka wamewekewa vikwazo, lakini Ayatollah anaendelea kuua Wairan. Je, aachwe aendelee kunyonya damu za watu? Wamarekani wajitahidi sana kuwalinda wananchi wa kawaida wa Iran, lakini Ayatollah na genge lake la wauaji, chochote kikiwapata ni sawa, na itakuwa faraja kubwa kwa wananchi.
[/QUOTE

Ila waisrael wakiua waparestina ni halali,wasudani waarabu wakiua weusi ni sawa mbona meli haziendi huko . Hii Dunia ina mambo putini anawaua waukreni Kila siku.Trump haoni huko
 
Tayari Manowari za Kivita zenye ndege za kutosha, zimeaanza kuelekea Middle East

Nimesoma source moja, hadi ndege zinazojaza mafuta ndege nyingine angani zimeshasogezwa hapo Middleeast

Kifupi RUSSIA kawasaliti allied wake wote VENEZUELA, CUBA na IRAN.

Sijui Viongozi wa Afrika wanakubaligi kuitwa Moscow kwenye agenda za Mrusi sijui wanaendaga kufanya nini?
Na USA kaacha kuisaidia UKRAINE!
A DANGEROUS HUMAN BEING IN THIS WORLD IS A CAUCASIAN MALE, WHO IS A SAVAGE, BARBARIAN, VIOLENT AND VERY GREEDY FOR THE HUMAN BEINGS RESOURCES....
 
Putin anatumika na USA kutimiza maslah yao, ni sawa na chadema ya zamani vs .....
Tayari Manowari za Kivita zenye ndege za kutosha, zimeaanza kuelekea Middle East

Nimesoma source moja, hadi ndege zinazojaza mafuta ndege nyingine angani zimeshasogezwa hapo Middleeast

Kifupi RUSSIA kawasaliti allied wake wote VENEZUELA, CUBA na IRAN.

Sijui Viongozi wa Afrika wanakubaligi kuitwa Moscow kwenye agenda za Mrusi sijui wanaendaga kufanya nini?
 
Mazungumzo yameshindikana. Mpaka wamewekewa vikwazo, lakini Ayatollah anaendelea kuua Wairan. Je, aachwe aendelee kunyonya damu za watu? Wamarekani wajitahidi sana kuwalinda wananchi wa kawaida wa Iran, lakini Ayatollah na genge lake la wauaji, chochote kikiwapata ni sawa, na itakuwa faraja kubwa kwa wananchi.
Wacha uongo wewe kijana.
Iran maandamano yameisha na hakuna raia aliye barabarani.
Siku nne zilizopita raia kila mkoa walitoka barabarani kwaajili ya kutoa heshima kwa serikali ya Khamenei na kwenda kuhudhuria mazishi ya askari waliokufa kipindi cha maandamano.
HUU UONGO SIJUI MNAUTOAGA WAPI??
Rejea USA watu wanaandamana huko Minneapolis kwasabababu ya mauaji wa afisa uhamiaji.
Na Trump huko anaua raia wake tena sana tu.
Soon atafanyiwa impeachment.
 
Iran anachimbwa biti tu, USA hawezi anzisha vita itayompa hasara...
 
Mazungumzo yameshindikana. Mpaka wamewekewa vikwazo, lakini Ayatollah anaendelea kuua Wairan. Je, aachwe aendelee kunyonya damu za watu? Wamarekani wajitahidi sana kuwalinda wananchi wa kawaida wa Iran, lakini Ayatollah na genge lake la wauaji, chochote kikiwapata ni sawa, na itakuwa faraja kubwa kwa wananchi.
Hapo unazungumzia upande wa raia wa Iran, bado hujazungumzia kwa dunia jinsi Iran anavyotesa dunia kwa ugaidi wake. Hovyo kabisa hili taifa.
 
Tunawaambia kila siku humu, hao Russia, India, sijui China na TAKATAKA zingine zinaungana nanyi kwasababu wote mnamchukia adui mmoja, tofauti na hapo hawana mapenzi nanyi hata kidogo, mfano hao Russia na china ni hovyo kabisa, hawana upendo kwa mataifa mengine zaidi ya kuunganisha power wapate sapoti ya kuwatwanga wamagharibi, then wakitimiza ajenda zao wanakukataa kata kata, hutowaona, ni tofauti na mabeberu wa magharibi, wakikupenda watakupenda bila unafiki, na watakusaidia bila unafiki na wataungana nawew kwa shida na raha, vile vile wakikukataa wamekukataa.

Tujiulize hawa Russia+China wasingekuwa na migogoro na USA+Western mnadhani wangewatreat vipi?.

Kumkataa mkoloni wa Magharibi inabidi ujipange haswa, napata wasiwasi hata kwa hivi vinchi masikini vya Afrika vinavyojifanya miamba kuwatunishia misuri wamagharibi ilihali havina nguvu yoyote, na sapoti yao wanategemea kutoka kwa hao wanafiki wa Russia na China.

Ni suala la muda tu hawa wazungu wakimalizana na Iran watahamia Afrika i'm sure kuanzia mwaka huu na kuendelea kuna nchi zijipange, zijipange kweli kweli, Tz ikiwepo, Uganza, South Afrika, Burkina faso, Niger, Mali n.k

Wanaoshabikia hiz team za Western na hao supporters wa Russia kazi mnayo
Lakini ni upumbavu na ujuha kufikiri kuwa Mrusi, Mchina aua Mmarekani akupende. Akupende wewe ni raia wake? Wote hao wanapambania maslahi ya mataifa yao na watu wao.

Salama ya hawa viongozi weusi ni mbili tu.

1. Kuheshimu raia wao - maana watawalinda.
2. Kuishi kwa akili na Mataifa yote makubwa duniani. Hutasikia hata siku Moja Botwasana imevamiwa? Why, akili kumkichwa.
 
Mazungumzo yameshindikana. Mpaka wamewekewa vikwazo, lakini Ayatollah anaendelea kuua Wairan. Je, aachwe aendelee kunyonya damu za watu? Wamarekani wajitahidi sana kuwalinda wananchi wa kawaida wa Iran, lakini Ayatollah na genge lake la wauaji, chochote kikiwapata ni sawa, na itakuwa faraja kubwa kwa wananchi.
Huna akili kabisa

Mbona huyu wa kwenu kaua watu elfu 10 na sijaona ukipaza sauti?
 
Wacha uongo wewe kijana.
Iran maandamano yameisha na hakuna raia aliye barabarani.
Siku nne zilizopita raia kila mkoa walitoka barabarani kwaajili ya kutoa heshima kwa serikali ya Khamenei na kwenda kuhudhuria mazishi ya askari waliokufa kipindi cha maandamano.
HUU UONGO SIJUI MNAUTOAGA WAPI??
Rejea USA watu wanaandamana huko Minneapolis kwasabababu ya mauaji wa afisa uhamiaji.
Na Trump huko anaua raia wake tena sana tu.
Soon atafanyiwa impeachment.
Mbona dikteta Ayatollah hajafanyiwa impeachment wakati yeye kaua maelfu ya watu.
 
Hapo unazungumzia upande wa raia wa Iran, bado hujazungumzia kwa dunia jinsi Iran anavyotesa dunia kwa ugaidi wake. Hovyo kabisa hili taifa.
Iran katesa dunia ipi?
1.Iraq alivamia Marekani na kuua mamilioni ya raia kimakusudi ushahidi Mmarekani mwenzao Jullian Assange anao.
2.Marekani na USA walifadhili civil war Syria 1958 na Lebanon 1960.
3.Marekani ameiteketeza Libya hadi sasa haiko stable.
4.Marekani aliingilia siasa za Yemeni kwa kupenyeza Al qaeda na kusababisha vita kuanzia 2014 hadi 2021.
Aya lete huo ugaidi anaofanya Iran??
NASUBIRI MAJIBU.
 
Haya mauaji ni kwa maandamano ya sasa tu...!!!!😛😛😛😛

Unaleta fake reports kutoka vyanzo ambavyo sio credible!??
Taarifa zinasema 30000 killed,wengine wanasema 12000 killed,wengine wanasema 40000 killed. Zipi taarifa sahihi!??
Mkaenda mbali hadi kumtangaza msanii wa Uturuki kuwa ni muiran na ameuawa kwa maandamano.
Propaganda zenu zimebuma.
 
Russia na China wakikwambia tutakulinda wewe jiongeze hawa watu hawapo tayari kuhatalisha nchi zao kwa ajili ya kenge yoyote
Wao wanatizama maslahi Yao kwanza kwani hamkushtuka tu Hadi Leo hii mlipo muona Putin alivyokwenda USA !??
 
USA na Russia lao moja, wanagawana maeneo kama wanamiliki wao. Kila mtu anangalia maslahi yake.
Sindio 🤣

Ndio maana USA now wamewapa ULAYA kisogo wanaona kabisa sera za Ulaya Zina wachelewesha now wame amua kuwa kama Russia rasmi Wana conquer nchi kabisa wanaweka utawala wao maisha ya endelee ,

So Russia na USA Kwa Sasa wanajuana wanatuzuga tu sisi
 
Back
Top Bottom