maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 2,338
- 5,286
Mkuu Myahudi yupo na ataendelea kuwepo daima. Binafsi ninavyounganisha dots sidhani kama Marekani ataivamia Iran direct. Labda kama atapata support ya mamluki wa ndani wataomsaliti Khemenei kama ilivyotokea kwa Maduro pale Venezuela. Nikirudi kwenye point yako Netanyahu naona anaupa pressure utawala wa Khemenei ila vita na iran is not a joke iran sio iraq wala libya Lakini Khemenei akiingia kwenye 18 za mossad hawamuachi Hawana la kupoteza hawa elites since Sobibo mpaka leo. USA hawezi pigana na Iran halafu Israel ikasalimika ndio maana unaona baadhi ya mataifa ya kiarabu yanakataa kutumika kwa anga,ardhi,maji yao katika vita hii inayonukia sababu wanajua kitachoenda kutokea. Muda utaongea mkuuvp kuhusu myahudi yupo katikati ya adui zake wote, kawekwa mtu kati mbona yupo na anaendelea na shughuri zake za kiuchumi hapo, hakuna nywi nywi nywi..
‼️🇺🇸🇮🇱🇬🇧🇮🇷 ALL EYES ON IRAN |Tayari Manowari za Kivita zenye ndege za kutosha, zimeaanza kuelekea Middle East
Nimesoma source moja, hadi ndege zinazojaza mafuta ndege nyingine angani zimeshasogezwa hapo Middleeast
Kifupi RUSSIA kawasaliti allied wake wote VENEZUELA, CUBA na IRAN.
Sijui Viongozi wa Afrika wanakubaligi kuitwa Moscow kwenye agenda za Mrusi sijui wanaendaga kufanya nini?
Mazungumzo yameshindikana. Mpaka wamewekewa vikwazo, lakini Ayatollah anaendelea kuua Wairan. Je, aachwe aendelee kunyonya damu za watu? Wamarekani wajitahidi sana kuwalinda wananchi wa kawaida wa Iran, lakini Ayatollah na genge lake la wauaji, chochote kikiwapata ni sawa, na itakuwa faraja kubwa kwa wananchi.
[/QUOTE
Ila waisrael wakiua waparestina ni halali,wasudani waarabu wakiua weusi ni sawa mbona meli haziendi huko . Hii Dunia ina mambo putini anawaua waukreni Kila siku.Trump haoni huko
Na USA kaacha kuisaidia UKRAINE!Tayari Manowari za Kivita zenye ndege za kutosha, zimeaanza kuelekea Middle East
Nimesoma source moja, hadi ndege zinazojaza mafuta ndege nyingine angani zimeshasogezwa hapo Middleeast
Kifupi RUSSIA kawasaliti allied wake wote VENEZUELA, CUBA na IRAN.
Sijui Viongozi wa Afrika wanakubaligi kuitwa Moscow kwenye agenda za Mrusi sijui wanaendaga kufanya nini?
Tayari Manowari za Kivita zenye ndege za kutosha, zimeaanza kuelekea Middle East
Nimesoma source moja, hadi ndege zinazojaza mafuta ndege nyingine angani zimeshasogezwa hapo Middleeast
Kifupi RUSSIA kawasaliti allied wake wote VENEZUELA, CUBA na IRAN.
Sijui Viongozi wa Afrika wanakubaligi kuitwa Moscow kwenye agenda za Mrusi sijui wanaendaga kufanya nini?
Wacha uongo wewe kijana.Mazungumzo yameshindikana. Mpaka wamewekewa vikwazo, lakini Ayatollah anaendelea kuua Wairan. Je, aachwe aendelee kunyonya damu za watu? Wamarekani wajitahidi sana kuwalinda wananchi wa kawaida wa Iran, lakini Ayatollah na genge lake la wauaji, chochote kikiwapata ni sawa, na itakuwa faraja kubwa kwa wananchi.
Hapo unazungumzia upande wa raia wa Iran, bado hujazungumzia kwa dunia jinsi Iran anavyotesa dunia kwa ugaidi wake. Hovyo kabisa hili taifa.Mazungumzo yameshindikana. Mpaka wamewekewa vikwazo, lakini Ayatollah anaendelea kuua Wairan. Je, aachwe aendelee kunyonya damu za watu? Wamarekani wajitahidi sana kuwalinda wananchi wa kawaida wa Iran, lakini Ayatollah na genge lake la wauaji, chochote kikiwapata ni sawa, na itakuwa faraja kubwa kwa wananchi.
Lakini ni upumbavu na ujuha kufikiri kuwa Mrusi, Mchina aua Mmarekani akupende. Akupende wewe ni raia wake? Wote hao wanapambania maslahi ya mataifa yao na watu wao.Tunawaambia kila siku humu, hao Russia, India, sijui China na TAKATAKA zingine zinaungana nanyi kwasababu wote mnamchukia adui mmoja, tofauti na hapo hawana mapenzi nanyi hata kidogo, mfano hao Russia na china ni hovyo kabisa, hawana upendo kwa mataifa mengine zaidi ya kuunganisha power wapate sapoti ya kuwatwanga wamagharibi, then wakitimiza ajenda zao wanakukataa kata kata, hutowaona, ni tofauti na mabeberu wa magharibi, wakikupenda watakupenda bila unafiki, na watakusaidia bila unafiki na wataungana nawew kwa shida na raha, vile vile wakikukataa wamekukataa.
Tujiulize hawa Russia+China wasingekuwa na migogoro na USA+Western mnadhani wangewatreat vipi?.
Kumkataa mkoloni wa Magharibi inabidi ujipange haswa, napata wasiwasi hata kwa hivi vinchi masikini vya Afrika vinavyojifanya miamba kuwatunishia misuri wamagharibi ilihali havina nguvu yoyote, na sapoti yao wanategemea kutoka kwa hao wanafiki wa Russia na China.
Ni suala la muda tu hawa wazungu wakimalizana na Iran watahamia Afrika i'm sure kuanzia mwaka huu na kuendelea kuna nchi zijipange, zijipange kweli kweli, Tz ikiwepo, Uganza, South Afrika, Burkina faso, Niger, Mali n.k
Wanaoshabikia hiz team za Western na hao supporters wa Russia kazi mnayo
Huna akili kabisaMazungumzo yameshindikana. Mpaka wamewekewa vikwazo, lakini Ayatollah anaendelea kuua Wairan. Je, aachwe aendelee kunyonya damu za watu? Wamarekani wajitahidi sana kuwalinda wananchi wa kawaida wa Iran, lakini Ayatollah na genge lake la wauaji, chochote kikiwapata ni sawa, na itakuwa faraja kubwa kwa wananchi.
Mbona dikteta Ayatollah hajafanyiwa impeachment wakati yeye kaua maelfu ya watu.Wacha uongo wewe kijana.
Iran maandamano yameisha na hakuna raia aliye barabarani.
Siku nne zilizopita raia kila mkoa walitoka barabarani kwaajili ya kutoa heshima kwa serikali ya Khamenei na kwenda kuhudhuria mazishi ya askari waliokufa kipindi cha maandamano.
HUU UONGO SIJUI MNAUTOAGA WAPI??
Rejea USA watu wanaandamana huko Minneapolis kwasabababu ya mauaji wa afisa uhamiaji.
Na Trump huko anaua raia wake tena sana tu.
Soon atafanyiwa impeachment.
Lete ushahidi wa Ayatollah kuua maelfu ya raia??Mbona dikteta Ayatollah hajafanyiwa impeachment wakati yeye kaua maelfu ya watu.
Iran katesa dunia ipi?Hapo unazungumzia upande wa raia wa Iran, bado hujazungumzia kwa dunia jinsi Iran anavyotesa dunia kwa ugaidi wake. Hovyo kabisa hili taifa.
Iran katesa dunia ipi?Hapo unazungumzia upande wa raia wa Iran, bado hujazungumzia kwa dunia jinsi Iran anavyotesa dunia kwa ugaidi wake. Hovyo kabisa hili taifa.
Haya mauaji ni kwa maandamano ya sasa tu...!!!!😛😛😛😛Lete ushahidi wa Ayatollah kuua maelfu ya raia??
Unaleta fake reports kutoka vyanzo ambavyo sio credible!??Haya mauaji ni kwa maandamano ya sasa tu...!!!!😛😛😛😛
Iran's crackdown has killed at least 6,159 people, activists say
Many others still are feared dead, activists said Tuesday, as a U.S. aircraft carrier group arrived in the Middle East to lead any American military response to the crisis. Iran's currency, the rial, meanwhile fell to a record low of 1.5 million to $1.www.pbs.org
Wao wanatizama maslahi Yao kwanza kwani hamkushtuka tu Hadi Leo hii mlipo muona Putin alivyokwenda USA !??Russia na China wakikwambia tutakulinda wewe jiongeze hawa watu hawapo tayari kuhatalisha nchi zao kwa ajili ya kenge yoyote
Sindio 🤣USA na Russia lao moja, wanagawana maeneo kama wanamiliki wao. Kila mtu anangalia maslahi yake.