Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
Habari wakuu
Katika pita pita zangu YouTube kuna kitu cha ajabu kinatokea mwenye ufahamu aweke hapa.
Ukisearch video yenye urefu wa kuanzia masaa mawili kwenye PC au kwa kuwasha Desktop site kwenye chrome, kisha uiplay na uedit link inayotokea pale juu kwenye search.
Kwa kuondoa herufi t kwenye neno watch; ibaki wach onafungua channel inaitwa Wach lakini ukiisearch Wach haiji mpaka utumie hio njia.
Kwenye hii channel kuna video moja ya msichana akicheza guitar huyu msichana ni msanii gani?