Jaribu ku- convent mshahara/kipato chako kwenda USD Kwa mwaka una USD ngapi?

Jugado

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2021
Posts
1,446
Reaction score
3,184
Leo katika harakati nikataka kujua take home yangu ya mwaka in USD ni ngapi aise ni aibu! Yaani mwaka mzima napata chini ya USD 6,500!

Ukiona mwanao ana kipaji mpeleke huko haraka sana....

Uchumi wetu bado sana
 
Kama ni hivyo upo vizuri si mbaya, kwa anayepata laki saba Kwa mwezi kwa mwaka mzima ni chini ya dola elfu 4
 
Ni kama USD 3,500! Yaani mtu unaajiriwa halafu mwaka mzima unalipwa USD 3,500! Hiyo Kwa waziri akienda nje ni posho ya safari moja tu!
 
Leo katika harakati nikataka kujua take home yangu ya mwaka in USD ni ngapi aise ni aibu! Yaani mwaka mzima napata chini ya USD 6,500!

Ukiona mwanao ana kipaji mpeleke huko haraka sana....

Uchumi wetu bado sana
When you are using or paid by US dollar never think of your local currency utabweteka.

Think dollar as dollars ili ukipata mfano dollar 100 uone ni kijihela kadogo sana. Then you think of 10K dollars etc etc.

Acha convert convert hiyo ni tabia ya kimaskini. The vice versa is true when you are paid or using your local currency.
 
Back
Top Bottom