Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haufiki milioni 7 kwa mwezi, jipige kifuani sema mimi ni cheap labourNa sisi wengine tunaojilipa hizo USD tunafanyaje au tuna convert kwenda TZS??
Tumia hiyo, kama pointi ya kuanzia ili usonge mbeleAise ni cheap kabisa! Pesa ya mwaka mzima unanunua bajaji tu!
Tunanyonywa sanaMilioni saba ni mshahara wa miezi sita!
Kama ni hivyo upo vizuri si mbaya, kwa anayepata laki saba Kwa mwezi kwa mwaka mzima ni chini ya dola elfu 4Leo katika harakati nikataka kujua take home yangu ya mwaka in USD ni ngapi aise ni aibu! Yaani mwaka mzima napata chini ya USD 6,500!
Ukiona mwanao ana kipaji mpeleke huko haraka sana....
Uchumi wetu bado sana

Ni kama USD 3,500! Yaani mtu unaajiriwa halafu mwaka mzima unalipwa USD 3,500! Hiyo Kwa waziri akienda nje ni posho ya safari moja tu!Kama ni hivyo upo vizuri si mbaya, kwa anayepata laki saba Kwa mwezi kwa mwaka mzima ni chini ya dola elfu 4
When you are using or paid by US dollar never think of your local currency utabweteka.Leo katika harakati nikataka kujua take home yangu ya mwaka in USD ni ngapi aise ni aibu! Yaani mwaka mzima napata chini ya USD 6,500!
Ukiona mwanao ana kipaji mpeleke huko haraka sana....
Uchumi wetu bado sana