ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Mama wa watu amefanya kila mbinu kutuliza hali ya hasira Kwa watu lakini imeshindikana
1.Kombo amezurula kote Duniani ila wazungu hawamwelewi
2. Kujaribu kuteka, kuuwa na kubambikia watu kesi tena, hii inawapa watu hasira.
3. Kutumia bunge fake, Gen Z wanapuuza
4. Njama za Madelu kutumia njia za JPM, kutatua migogoro.
Watu wanapuuza
5. Kuendelea kumshikilia TAL Kwa kesi ya uongo, hii inapandisha Mori jamii za kimataifa kuweka vikwazo na masharti Yao
6. Maridhiano ya CCM na ACT wazalendo, watu wote wameona kama maigizo
7. Akisema amtoe TAL pale UKonga Nina Imani hata mwezi hamalizi madarakani.
TAL ana ushawishi mkubwa Kwa Gen z
8. Gen z wamegoma kutumika Kwa Simba na Yanga, sijui wasanii na matamasha
9. Akisema alete katiba mpya nani ataamini katiba ya CCM
10. Akisema ajiuzulu, je hao deep state watamkubalia?
Na usalama wake utakuwaje
11 Akiendelea madarakani, ICC watatoa arrest warrant, hii itakuwa mbaya akienda popote atakamatwa na kufikishwa mahakamani.
ICC wakitoa arrest warrant litakuwa jambo baya zaidi kwake, maana watambulisha kama mhalifu wa haki za binadamu, itakuwa rahisi kupingwa na Gen Z na mamlaka za kimataifa kupiga hodi kumkamata
12. Akiendelea kutumia vyombo vya ulinzi kulinda amani Kwa mtutu wa bunduki, siku sio nyingi watachoka watagawanyika na kumgeka.
Wengi hawapo tayari kutumika na kusaliti taaluma zao
13. Huyu mama sijui kama akilala anapata hata usingizi kwakweli
13 Tuendelee kumwombea kwakweli