Who are you atamuuliza nani tena sasa.Mama wa watu amefanya kila mbinu kutuliza hali ya hasira Kwa watu lakini imeshindikana
1.Kombo amezurula kote Duniani ila wazungu hawamwelewi
2. Kujaribu kuteka, kuuwa na kubambikia watu kesi tena, hii inawapa watu hasira.
3. Kutumia bunge fake, Gen Z wanapuuza
4. Njama za Madelu kutumia njia za JPM, kutatua migogoro.
Watu wanapuuza
5. Kuendelea kumshikilia TAL Kwa kesi ya uongo, hii inapandisha Mori jamii za kimataifa kuweka vikwazo na masharti Yao
6. Maridhiano ya CCM na ACT wazalendo, watu wote wameona kama maigizo
7. Akisema amtoe TAL pale UKonga Nina Imani hata mwezi hamalizi madarakani.
TAL ana ushawishi mkubwa Kwa Gen z
8. Gen z wamegoma kutumika Kwa Simba na Yanga, sijui wasanii na matamasha
9. Akisema alete katiba mpya nani ataamini katiba ya CCM
10. Akisema ajiuzulu, je hao deep state watamkubalia?
Na usalama wake utakuwaje
11 Akiendelea madarakani, ICC watatoa arrest warrant, hii itakuwa mbaya akienda popote atakamatwa na kufikishwa mahakamani.
ICC wakitoa arrest warrant litakuwa jambo baya zaidi kwake, maana watambulisha kama mhalifu wa haki za binadamu, itakuwa rahisi kupingwa na Gen Z na mamlaka za kimataifa kupiga hodi kumkamata
12. Akiendelea kutumia vyombo vya ulinzi kulinda amani Kwa mtutu wa bunduki, siku sio nyingi watachoka watagawanyika na kumgeka.
Wengi hawapo tayari kutumika na kusaliti taaluma zao
13. Huyu mama sijui kama akilala anapata hata usingizi kwakweli
13 Tuendelee kumwombea kwakweli
Nani akubali kubebeshwa mzigo wa mavi?Bado anazo options.
1. Kuwatoa watu wazito kafara kuwawajibisha kwa watu waliopotezwa, kutekwa na mauaji
2. Kuvunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya.
3. Kuipitisha katiba ya Warioba kama ilivyo
Lissu akitoka Kwa ushawishi wake laZima gen Z wajae barabarani hata mwaka mzima.Mwisho wa siku kila mtu atavuna alichopanda.Sema anaweza kupuyanga puyanga mpaka akamaliza hii minne iliyobaki japo kwa mbinde na taifa lazima lizame hakuna namna ikiwa hivyo.
Lissu akitoka sijui maana JPM kipindi chake kidogo achanganyikiwe kwa muda kidogo Lissu alipokuwa bungeni
Unachukulia vitu kiwepesi sanaBado anazo options.
1. Kuwatoa watu wazito kafara kuwawajibisha kwa watu waliopotezwa, kutekwa na mauaji
2. Kuvunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya.
3. Kuipitisha katiba ya Warioba kama ilivyo.
4. Kuwaachilia wafungwa wote wa kisiasa na kuwarudisha nyumbani wakimbizi wote wa siasa.
Mbaya zaidi ya sanaNani akubali kubebeshwa mzigo wa mavi?
Yeye ndo amri mkuu.
Atavunja bunge Kwa sababu Gani.
Jamani huyu mama yupo angle mbaya mno,
Hekima ni kuzuga na kustep down while still early before too lateMama wa watu amefanya kila mbinu kutuliza hali ya hasira Kwa watu lakini imeshindikana
1.Kombo amezurula kote Duniani ila wazungu hawamwelewi
2. Kujaribu kuteka, kuuwa na kubambikia watu kesi tena, hii inawapa watu hasira.
3. Kutumia bunge fake, Gen Z wanapuuza
4. Njama za Madelu kutumia njia za JPM, kutatua migogoro.
Watu wanapuuza
5. Kuendelea kumshikilia TAL Kwa kesi ya uongo, hii inapandisha Mori jamii za kimataifa kuweka vikwazo na masharti Yao
6. Maridhiano ya CCM na ACT wazalendo, watu wote wameona kama maigizo
7. Akisema amtoe TAL pale UKonga Nina Imani hata mwezi hamalizi madarakani.
TAL ana ushawishi mkubwa Kwa Gen z
8. Gen z wamegoma kutumika Kwa Simba na Yanga, sijui wasanii na matamasha
9. Akisema alete katiba mpya nani ataamini katiba ya CCM
10. Akisema ajiuzulu, je hao deep state watamkubalia?
Na usalama wake utakuwaje
11 Akiendelea madarakani, ICC watatoa arrest warrant, hii itakuwa mbaya akienda popote atakamatwa na kufikishwa mahakamani.
ICC wakitoa arrest warrant litakuwa jambo baya zaidi kwake, maana watambulisha kama mhalifu wa haki za binadamu, itakuwa rahisi kupingwa na Gen Z na mamlaka za kimataifa kupiga hodi kumkamata
12. Akiendelea kutumia vyombo vya ulinzi kulinda amani Kwa mtutu wa bunduki, siku sio nyingi watachoka watagawanyika na kumgeka.
Wengi hawapo tayari kutumika na kusaliti taaluma zao
13. Huyu mama sijui kama akilala anapata hata usingizi kwakweli
13 Tuendelee kumwombea kwakweli
Bwashee lazima ujifyatue kama miamba wa visunguraHahahaha Mzee mwenzangu
Hata Mimi binafsi Bora niwe hivi ila nafasi ya Urais wa Samuya siwezi kuikubali
Ajifunze Kenya enzi za Kibaki alivyowatoa kafara Uhuru, Ruto na wenzao wanne wakapelekwa ICC baada ya machafuko ya 2007.Nani akubali kubebeshwa mzigo wa mavi?
Yeye ndo amri mkuu.
Atavunja bunge Kwa sababu Gani.
Jamani huyu mama yupo angle mbaya mno,
Hiyo namba 2 ndiyo inayofanya watu wasimpende hata afanye vipiMama wa watu amefanya kila mbinu kutuliza hali ya hasira Kwa watu lakini imeshindikana
1.Kombo amezurula kote Duniani ila wazungu hawamwelewi
2. Kujaribu kuteka, kuuwa na kubambikia watu kesi tena, hii inawapa watu hasira.
3. Kutumia bunge fake, Gen Z wanapuuza
4. Njama za Madelu kutumia njia za JPM, kutatua migogoro.
Watu wanapuuza
5. Kuendelea kumshikilia TAL Kwa kesi ya uongo, hii inapandisha Mori jamii za kimataifa kuweka vikwazo na masharti Yao
6. Maridhiano ya CCM na ACT wazalendo, watu wote wameona kama maigizo
7. Akisema amtoe TAL pale UKonga Nina Imani hata mwezi hamalizi madarakani.
TAL ana ushawishi mkubwa Kwa Gen z
8. Gen z wamegoma kutumika Kwa Simba na Yanga, sijui wasanii na matamasha
9. Akisema alete katiba mpya nani ataamini katiba ya CCM
10. Akisema ajiuzulu, je hao deep state watamkubalia?
Na usalama wake utakuwaje
11 Akiendelea madarakani, ICC watatoa arrest warrant, hii itakuwa mbaya akienda popote atakamatwa na kufikishwa mahakamani.
ICC wakitoa arrest warrant litakuwa jambo baya zaidi kwake, maana watambulisha kama mhalifu wa haki za binadamu, itakuwa rahisi kupingwa na Gen Z na mamlaka za kimataifa kupiga hodi kumkamata
12. Akiendelea kutumia vyombo vya ulinzi kulinda amani Kwa mtutu wa bunduki, siku sio nyingi watachoka watagawanyika na kumgeka.
Wengi hawapo tayari kutumika na kusaliti taaluma zao
13. Huyu mama sijui kama akilala anapata hata usingizi kwakweli
13 Tuendelee kumwombea kwakweli
Sina uelewa mkubwa kwenye siasa za KenyaAjifunze Kenya enzi za Kibaki alivyowatoa kafara Uhuru, Ruto na wenzao wanne wakapelekwa ICC baada ya machafuko ya 2007.
Asipofanya hivyo anaendelea kukaribisha nzi.Lissu kidogo huko nje anafahamika,mbaya zaidi hii kesi ya kutungwa kama wanazidi kumuweka ndani na jambo baya likampata utakuwa utata huu.Lissu akitoka Kwa ushawishi wake laZima gen Z wajae barabarani hata mwaka mzima.
Salama yake asijaribu kumwachia Lissu