Tatizo lake lipo kwenye hotuba zake, sijui anaandika mwenyewe au kama alivyosema mwenyewe anabwatuka tuu lakini zimeendelea kumuaribia.Mama wa watu amefanya kila mbinu kutuliza hali ya hasira Kwa watu lakini imeshindikana
1.Kombo amezurula kote Duniani ila wazungu hawamwelewi
2. Kujaribu kuteka, kuuwa na kubambikia watu kesi tena, hii inawapa watu hasira.
3. Kutumia bunge fake, Gen Z wanapuuza
4. Njama za Madelu kutumia njia za JPM, kutatua migogoro.
Watu wanapuuza
5. Kuendelea kumshikilia TAL Kwa kesi ya uongo, hii inapandisha Mori jamii za kimataifa kuweka vikwazo na masharti Yao
6. Maridhiano ya CCM na ACT wazalendo, watu wote wameona kama maigizo
7. Akisema amtoe TAL pale UKonga Nina Imani hata mwezi hamalizi madarakani.
TAL ana ushawishi mkubwa Kwa Gen z
8. Gen z wamegoma kutumika Kwa Simba na Yanga, sijui wasanii na matamasha
9. Akisema alete katiba mpya nani ataamini katiba ya CCM
10. Akisema ajiuzulu, je hao deep state watamkubalia?
Na usalama wake utakuwaje
11 Akiendelea madarakani, ICC watatoa arrest warrant, hii itakuwa mbaya akienda popote atakamatwa na kufikishwa mahakamani.
ICC wakitoa arrest warrant litakuwa jambo baya zaidi kwake, maana watambulisha kama mhalifu wa haki za binadamu, itakuwa rahisi kupingwa na Gen Z na mamlaka za kimataifa kupiga hodi kumkamata
12. Akiendelea kutumia vyombo vya ulinzi kulinda amani Kwa mtutu wa bunduki, siku sio nyingi watachoka watagawanyika na kumgeka.
Wengi hawapo tayari kutumika na kusaliti taaluma zao
13. Huyu mama sijui kama akilala anapata hata usingizi kwakweli
13 Tuendelee kumwombea kwakweli
Kuendelea kumshikilia Lissu ndiko kunafanya watu wamchukieLissu akitoka Kwa ushawishi wake laZima gen Z wajae barabarani hata mwaka mzima.
Salama yake asijaribu kumwachia Lissu
Watakubaka na kukutoa utumbo nnje wewe hauogopi bwashee 😃😅😅Hata nikipewa Urais wake ndotoni
Nikistuka nitalia mno.
Ni msalaba mkubwa mno, Urais wa huyu mama haubebeki
Atatumwa mtu tu mahakama kuu kufungua kesi dhidi ya uchaguzi wa 2025. Mahakama ndio itatangaza uchaguzi wa wabunge na madiwani ulikuwa batili kwa sababu ulikiuka vifungu vingi vya katiba, yeye urais wake utabaki kwa sababu hauwezi kuhojiwa mahakamani kwa sababu zozote zile.Atavunja bunge Kwa sababu Gani.
Daaah una hoja nzuriAsipofanya hivyo anaendelea kukaribisha nzi.Lissu kidogo huko nje anafahamika,mbaya zaidi hii kesi ya kutungwa kama wanazidi kumuweka ndani na jambo baya likampata utakuwa utata huu.
Anyway huyu mama ana shida kubwa. JPM na wenge lake hakuwahi kuandamwa kama huyu.Imagine EU,baadhi ya maseneta wa US,Common wealth,baadhi ya member states wa EU(Hawa wote kuna vitu washa point kwamba haviko sawa katika utawala wa huyu bibi)
Kila mtu atabeba msalaba wake asee.Kama kuna kitu anaweza kufanya ni kufanya malipizi ya damu walizo mwaga siku ya uchaguzi hii italiandama taifa hata yeye akiondoka
Wanaume wazima kukaa kusubiria mwanamke afanye mambo ya kuwafurahisha wanaume sahau😎. ILA HILI NALO NENO IMAGINE KINA KABUDI, MAJALIWA MPANGO WANASUBILI MAELEKEZO YAKETangu lini mwanamke anakuwa na maono ya nyumba??...wanachoweza wenzetu ni kuoga, kupaka rangi na poda, kutafuta vikoba vipya, na umbea tu. Wanaume wazima kukaa kusubiria mwanamke afanye mambo ya kuwafurahisha wanaume sahau😎. Ningekuwa ni Mimi, ningetulia tuli kama anavyofanya yeye sasahivi🤣🤣.....ibakie Allah aamue juu ya uhai wake tu
Hii mbinu Gen Z wanaijuaAtatumwa mtu tu mahakama kuu kufungua kesi dhidi ya uchaguzi wa 2025. Mahakama ndio itatangaza uchaguzi wa wabunge na madiwani ulikuwa batili kwa sababu ulikiuka vifungu vingi vya katiba, yeye urais wake utabaki kwa sababu hauwezi kuhojiwa mahakamani kwa sababu zozote zile.
CDF hahusiki, Kafara zinatolewa wakati wowote ule.Sina uelewa mkubwa kwenye siasa za Kenya
Ila mkuu huyu mama hili kombe atalinywea tu.
Angewatoa kafara CDF na IGP Toka siku ya kwanza kabla hajajiapisha,
Ila Sasa karibia mwaka unaisha ataanzia wapi
Wacha nichague kuheshimu mtazamo wakoCDF hahusiki, Kafara zinatolewa wakati wowote ule.
Kiufupi huyu mama ajiombee tu maana kila option inagoma.Mbaya zaidi ameamini kwenye matumizi ya nguvu wakati alishaharibu.Daaah una hoja nzuri
Kumshikilia Lissu kunaleta pressure kimataifa
Ila je Kwa tabia ya TAL akiachiwa atatulia?
Atawaamsha watu
Jamaa ana ushawishi hatari ataitisha maandamano ambayo bila shaka yatamsumbua na kumpa mtihani mama yetu
Wabunge wa CCM hawawezi kumuondoa, yeye atawawahi alivunje bunge. Tanzania katiba inampa rais mamlaka ya kuvunja bunge.Wacha nichague kuheshimu mtazamo wako
Ila binafsi naona huyu mama yupo angle ngumu anapigwa mangumi tu na watesi wake
Huko CCM Nina uhakika zaidi ya 90% hawamuungi mkono
Hata bunge lake wakisema wapige kura la kutokuwa na Imani nae Nina Imani anapigwa chini
Haya subiri sasa uone na yeye atafanyajeNingejinyonga
Je, Bunge la haki litamlinda? Au limuondoa baada ya wiki 1 Kwa kupiga kura ya kutokuwa na Imani na Rais?Wabunge wa CCM hawawezi kumuondoa, yeye atawawahi alivunje bunge. Tanzania katiba inampa rais mamlaka ya kuvunja bunge.
Ila mkuu, kujaa barabarani gen Z, sidhani sababu si watatumia vitisho kama vya 7/7 na wote tutaishia kukaa ndani tuu.Lissu akitoka Kwa ushawishi wake laZima gen Z wajae barabarani hata mwaka mzima.
Salama yake asijaribu kumwachia Lissu
OkayTumuombee tu