Mtoto akizaliwa utamlisha majani kama mbuzi hujui kama kuhudumia ni kamzozo.Tafuta ambae hana mzae
Thank me later
Haha usiache kumwambia huyo baba amwage njeee shost,, akizaliwa cha bei nafuu ni maziwa ya mama pekee, napo mama anatakiwa ale ashibe. Na sio kula michicha na ugali ๐คฃ๐คฃAkizaliwa mambo yatafunguka
Ushindwe kutafuta Hela wewe uje utegemee watoto ndo wakutafutie mawazo madogo ya watu wa zamani haya.Kama una tatizo la kiuchumi kwa muda mrefu jaribu kupata mtoto...
Mtoto anakuja na sahani yake mambo Yako yanaweza kufunguka. .......
Thank me later
Cc: Kijana masikini and 100 others
Mtoto akililia nyonyo usiku,. Kumbe kamama nae hakakushiba, wanajikuta yeye na mtoto wote wanalia njaa๐คญ๐Ni rahisi sana, jichanganye ulie kuliko huyo mtoto ๐
Dj awalete kwa wimbo gani..?๐คฃHaha usiache kumwambia huyo baba amwage njeee shost,, akizaliwa cha bei nafuu ni maziwa ya mama pekee, napo mama anatakiwa ale ashibe. Na sio kula michicha na ugali ๐คฃ๐คฃ
Nadhani unatania kumbe upo serious kabisa.Baada ya dhiki faraja...
Utanishukuru
Huyo mtotoooooโฆ ๐ถDj awalete kwa wimbo gani..?๐คฃ
๐น๐นDada utakuja kunishukuru