Jaribu kupata mtoto

Unaona wengine walikuja na baraka
 
Mtoto akishazaliwa mnakula wote msoto. Akikua kidogo na kupata ufahamu anaanza kukulaani kwa kumleta katika hii dunia yenye tabu na mateso. Nawe pia unajisikia vibaya kuambiwa hivyo na mwanao, Unapata msongo wa mawazo unaopelekea kupata presha. Unapata kiharusi afu mwishowe unakufa.

Mwanao anae anaingia JF anakuta uzi kama huu. Anafata ushauri. Kinamramba. Mjukuu pia hivihivi.

Mwishowe Watanzania wote tunakufa kwa kuzaa bila kujipanga kisa mtu tumefata ushauri wa mleta uzi.😁😁
 
Hyo mwingine akileta mateso pata mwingien na mwingine na mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…