Meko Junior
Senior Member
- Mar 23, 2018
- 159
- 362
Laiti kama tungekua tunamwona mungu na tunajua anapoishi, tusiogopa jela kabisa sababu ungejua dhahiri kwamba mzee wa kutoa adhabu yupo anakuangalia tu.Pengine tungegawana majengo ya serikali mimi jela yeye mochwari ukizingatia alikua mwanafunzi,tuwaze na chanya pia sio hasi tu huku tukifanya toba
Pengine alitoa na hakukwambia sabab anajua ungemfanya kitu mbaya, mkuu kwani akili za hawa dada zetu si unajua hazisomeki kama "macha cha pimazindu"Uzi wa wauaji!
Mzee wangu heshima yako..Miaka 98
MashallahMzee wangu heshima yako..
Hata kama nimetia mimba mwanafunzi katu sijawahi na wala sitowahi nije kuidhinisha demu wangu atoe mimba,Pengine tungegawana majengo ya serikali mimi jela yeye mochwari ukizingatia alikua mwanafunzi,tuwaze na chanya pia sio hasi tu huku tukifanya toba
Ila yeye anaweza akatoa, kwakuogopa na watu wanaomzunguka, atatoa vizuri tuHata kama nimetia mimba mwanafunzi katu sijawahi na wala sitowahi nije kuhidhinisha demu wangu atoe mimba,
Akijaribu kufanya hvyo atageuka adui yangu namba moja dunianIla yeye anaweza akatoa, kwakuogopa na watu wanaomzunguka, atatoa vizuri tu
Huwezi kuua damu yangu kijinga jinga nikakusameheIla yeye anaweza akatoa, kwakuogopa na watu wanaomzunguka, atatoa vizuri tu
DON NALIMSON amesema atakuteua uwe makamu wake! unazungumziaje jambo ilo?Mashallah