Meko Junior
Senior Member
- Mar 23, 2018
- 159
- 362
Embu tuambizane, ndugu wajenzi wa nchi, maisha yanatunyoosha na sisi tunayanyoosha.
Wengi tumepitia changamoto nyingi za maisha, wengi tumepitiwa kwenye mahusiano mengi sana, wengine wakapat mimba au kuwapa watu mimba na kuchukua maamuzi ya kuitoa.
Embu jaribu kuwaza kama usingetoa ile mimba mtoto angekua na umri gani, wengine wametoa mimba zaidi ya tano.
"Mimi wakwangu angekua anatimiza mwezi mmoja saivi akiwa tumboni kwa mama yake"