Jarida la Africa Intelligence laripoti uhusiano kati ya Rais Samia na Dkt. Kikwete

Jarida la Africa Intelligence laripoti uhusiano kati ya Rais Samia na Dkt. Kikwete

Gwajima

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
253
Reaction score
406
Niliiona siku za nyuma na kibaya walihusisha maamuzi ya kuwarudia wachina na bandari ya Bagamoyo na ushawishi wa Kikwete. Kama ni kweli, ni tatizo. Rais lazima awe mmoja na siyo kuwa kama stooge.
 
Niliiona siku za nyuma na kibaya walihusisha maamuzi ya kuwarudia wachina na bandari ya Bagamoyo na ushawishi wa Kikwete. Kama ni kweli, ni tatizo. Rais lazima awe mmoja na siyo kuwa kama stooge.
Familia imerudi
 
Hili jarida linamilikiwa na nani? Ofisi zao ziko nchi gani? Kilichoandikwa hapa ni ukweli au ni uongo?

Nikinukuu aya yakwanza katika makala hii "After having been ignored by John Magafuli, former president Jakaya Kikwete is back in business as Samia Suluhu Hassan's confidant."

Kama kweli basi tumeshapigwa.

Chanzo: TANZANIA : Ex-president Kikwete returns to the fore as Suluhu Hassan's mentor and messenger
Kwenye "uchafuzi" wa 2020, MaCCM waliteua wagombea wanawake wasiozidi 25 kugombea kwenye majimbo, CHADEMA iliteua wanawake zaidi ya 50... ni muhimu kukumbushana hili leo ikiwa ni siku ya Demokrasia na Mh Rais anakutana na wanawake... Tanzania ina majimbo 264
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom