Jarida la Africa Intelligence laripoti uhusiano kati ya Rais Samia na Dkt. Kikwete

Kwa hiyo ukiwa Rais uanze kuwatukana watangulizi wako...ni malezi, Samia hajalelewa hivyo, atakuwa karibu nae na itapobidi ataomba ushauri, sio kunifanya anajua kila kitu.
Kupata ushauri kwa jizi
 
Kuna kosa gani hapo mkwere kurudi kwa mlango wa nyuma mbona congo kabila katundika koti ofisini kwa tshekedi
Kabila bado anatawala Congo kwa 'namna ya tisa'.
 
TUSHAPIGWA KWEL JPM ALIKUWA ANAMKATIA UZI MARA NYINGI SANA JK
 
tatzo hujaelewa maada,hebu angalia wakat magu yupo madarakan,ulikuwa unaona kikwete anatajwa tajwa kushliki kaz au ziara za kiserikal mara kwa mara?the same to kikwete mwenyewe mkapa alikuwa mshauri tu tena asiyetambulika kwenye uso wa watanzania
 
Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…