Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua pembe la mo halifichiki
Well said, hili ndilo tatizo lililotukumba Tanzania strategic planning ya muda mrefu kila Rais anakuja na mipango yake.Tunapata raisi mkulima, anaanda shamba, anapanda, mazao yanapoanza kuchepua, anaingia raisi mfugaji, anaingiza mifugo shambani, inakula mazao na kuharibu mazao, kisha tunapata raisi mkulima tena, then mfugaji, mkulima na circle kuendelea.
Mataga utatagaJk ndio rais kipenzi wa chadema kuliko marais wote hapa tz!
Bila shaka wanafurahi sana jinsi anavyotawala nyuma ya mgongo wa Samia
Huo ni ukweli tunaujua, Kikwete ndiye rais ssh ni mtumishi wake tuHili jarida linamilikiwa na nani? Ofisi zao ziko nchi gani? Kilichoandikwa hapa ni ukweli au ni uongo?
Nikinukuu aya yakwanza katika makala hii "After having been ignored by John Magafuli, former president Jakaya Kikwete is back in business as Samia Suluhu Hassan's confidant."
Kama kweli basi tumeshapigwa.
Chanzo: TANZANIA : Ex-president Kikwete returns to the fore as Suluhu Hassan's mentor and messenger
Huu utakuwa ni uongo na uzushi tuu na hawakuanza leo!.
P
Kama JPM alipuuza alipuuza kwa sababu za msingi au ni siasa tu , kama kuna sababu za msingi iliyomfanya aache kwanini sasa inarudiwa au hizo sababu zime expireRais anaetoka madarakani hua anaacha mipango mikakati yake kwahyo Rais anaekuja anatakiwa akamilishe kwanza aliyoyaacha mwenzie halafu na yeye aendelee na yake kwahyo anahitaj ushirikiano na mtangulizi wake hiki kitu JPM alikikataa akafuata njia yake ndio maana ktk madaraka yake alichangua kila kitu cha utawala uliopita bahati mbaya aliishia katikati kwahyo kwa sasa SSH anahitaj msaada wa JK ili kurudisha ile mikakati aliyoiacha ambayo JPM aliipuzia
Hahahahah ! Hatariii !!Mama kashasema wanaume wa nchii wote maboya msimtishe 2025 anagombea na hakuna wa kumzuia