Jarida la Africa Intelligence laripoti uhusiano kati ya Rais Samia na Dkt. Kikwete

Jarida la Africa Intelligence laripoti uhusiano kati ya Rais Samia na Dkt. Kikwete

Tujiandae Rizone kupewa uwaziri soon...
Ukisikia kunyea kambi ndiyo itakuwa hiyo siku mother anstamani sana na kikwete wampe uwaziri huyo muuza madawa ila wanaogopa kunyea kambi
 
Kuwa Confidant wa mtu hakuna tatizo

Tatizo ni kama kinachofanywa hakina maslahi ya nchi na wananchi no matter who is behind who...
 
Nyerere hayupo,Magufuli hayupo ,mkapa hayupo ,Mwinyi amezeeka ,bila shaka mshauri wake kwa upande wa Marais lazima atakuwa kikwete
Japo Jiwe lilikuwa halishauriki, lilidai 'wanawashwa washwa' akina JK.
 
Jpm alimmaindi mmojawapo kwa kumchafulia nyumba yake kwa drugs. Mana yeye alichafua kipindi chake Tena akataka kumchafulia. Si mnakumbuka kimbunga jobo Yale madawa yako wapi ama wale waliokamatwa jamani hata kesi haisikiki Tena.
 
Mbona hukumshauri jiwe arudi kusoma kizungu!?? Mwache jk atawale sio mshamba kama bwana yuleee
 
IMG_20210906_135621.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Kwa akili zako mtu akiwa your confidant tayari ana mahusiano na wewe?

Au utufafanulie neno mahusiano umelitumia katika muktadha upi.

Narudia tena kukwambia, go back to school.


Point out the school to which he should go.
 
Kwa hiyo ukiwa Rais uanze kuwatukana watangulizi wako...ni malezi, Samia hajalelewa hivyo, atakuwa karibu nae na itapobidi ataomba ushauri, sio kunifanya anajua kila kitu.
 
Back
Top Bottom