Jarida la Forbes: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jar

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Jarida la Forbes

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jarida la Forbes.

Ushawishi wake katika masuala ya Diplomasia na kuwa kinara wa Nishati safi Duniani ni baadhi ya sababu, namna anavyoendesha nchi kwa mafanikio, anavyosimamia miradi mbalimbali ya maendeleo kwa watu wake lakini lamna alivyofanya mapinduzi kwenye sekta mbalimbali kama Utalii ni baadhi ya vitu vinavyompa heshima na nguvu.

Hongera Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store

#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama
 

Attachments

  • VID-20241216-WA0018.mp4
    52.3 MB
Mpe gazeti hilo mzee wa kuhuhujikwa na machozi -Lucas
 
well done Dr Samia Suluhu Hassan 🌹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…