Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wengine sijui ni kukosa maarifa au ni ubishi wa mksudiKitu inachotakiwa ujue ni kua mkataba ukishavunjika ni umevunjika, iwe kimakosa au sio kimakosa.
Ebu tupe iyo hoja ya feisal inayomfanya atake kuvunja mkataba maana sisi wengine atuijui utakuwa umetusaidia pakubwaUnatambua lolote kuhusu hoja anatumia Feisari kudai kuvunja mkataba?
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Hilo la kuzungumza masaa 6 nani ana ushahidi nalo?Hapa ndo kuna mtego. Ni kweli Fei hakwenda Yanga baada ya kuambiwa na TFF?
Au walizungumza masaa 6 akapewa sharti la kurudi amalizie mkataba, kurudi aboreshewe maslahi, timu inayomtaka ije?
Hii loophole ikitumiwa na kila mchezaji kutakua na ligi?Mara nyingine usikurupuke tuu kuanza kuropoka, mchezaji akivunja mkataba bila kufuata taratibu Tff walipaswa wamuadhibu mchezaji kwa kosa alilo fanya, na hapo ndipo palipo na msingi wa kesi
Mashabiki wa yanga mna matatizo gani [emoji848][emoji848]
Hayo unayosema ni sawa na umbea hayana ushahidiFeisal alishaona yanga hawawezi kumkubalia feisal avunje mkataba hata wangekaa mezani, kwa hyo akarudi kwenye kipengele cha kuvunja mkataba kwenye mkataba wake na akakitimiza, kwa hyo mpaka sasa feisal sio mchezaji wa yanga.
walichotakiwa kukifanya yanga ni kumshitaki fei, ila yanga wanajifanya wema eti fei arudi kwenye timu, je angefanya mchezaji mwengine hvo wasingemshitaki kwa huo utovu wa nidhamu?? Halafu wanazidi kujifanya wema eti mchezaji kavunja sheria na taratibu bado eti mnajidai mnamuingizia mshahara wake ili muonekane wema .
Yote haya ni kujifanya wema ila behind the scene Hersi na Yanga ndo wasababishi wa haya yote na wao wanajua ila mashabiki kazi yao ni kutetea liwe baya au zuri.
Mkuu TFF haipo kuvunja mikataba ipo kusimamia makubaliano ukilewa hili haupati shidaKwahiyo unahisi nan anapigania haki za wachezaj ? serikali?
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Hiyo unayoisema wewe kwenye sheria za FIFA "ni mutual agreement" ambayo ipo kwenye "termination of contract with just cause"Anaruhusiwa, ila kwa makubaliano/mazungumzo
Double signing ni kosa unafungiwa. Ila kwakuwa kuna kuwa na maslahi ya simba au yanga basi sheria inapindishwaMkuu wanaingilia kati kama kwenye mkataba kuna utata kama hio double signing sio kuvunja au kuandika
Ni sahihi kabisa. Nilishawahi kusema TFF hawajatimiza wajibu wao.
Hapa ndo umemaliza kila kituuu.Hiyo unayoisema wewe kwenye sheria za FIFA "ni mutual agreement" ambayo ipo kwenye "termination of contract with just cause"
Kuna kipengele hapo kingine kinafuatia kipo article ya 17 ya sheria za FIFA kinasema " unilateral termination of contract without just cause"
Ambacho hakihitaji kuwe na hayo mazungumzo/makubaliano ya pande zote mbili.
Ila consequences zake ndio zinazofanya watu wengi waogope kutumia kipengele hicho kwasababu ya ukali wa adhabu.
Adhabu ni faini kulingana na mkataba unavyosema, lakini pia kufungiwa na shirikisho lako la soka kwa kipindi cha muda wa miezi minne. Baada ya hapo upo huru kucheza popote.
Na rekodi za kesi kama hizi zipo mfano kuna mchezaji ambaye alifanya kama alivyofanya Feisali anaitwa Hakan Çalhanoğlu unaweza ukasoma kesi yake CAS.
Sasa inavyosemekana kwenye mkataba wa Feisali kiasi cha faini kilichoandikwa endapo mkataba huo ukavunjwa kiholela, pesa yake ni ndogo ambayo haiendi kuinfufaisha Club.
Hivyo wanaona watampa urahisi sana na Club haitafaidika, ila ingekuwa pesa ya faini ni kubwa basi kwa Club ingekuwa ni sherehe na hata yeye mwenyewe Feisali asingejaribu kuvunja mkataba.
Na kupitia sakata hili naskia wachezaji wanaosaini mikataba mipya wanawekewa faini za pesa nyingi ili kuwafanya washindwe kuondoka.
Mkuu pitia comment nimemjibu jamaa swali kama lako.Ila mawakili wa Feisal wanajua wanachokifanya.Tff Ina mkataba na Feisal? Je,Feisal na party ya pili(Yanga) walishajadiliana wakashindwana?
Wewe jamaa ni mjuaji na haujui Hakan alifanya maridhiano na timu yake ila sababu umejaa ujuaji endelea kukaza shingoHiyo unayoisema wewe kwenye sheria za FIFA "ni mutual agreement" ambayo ipo kwenye "termination of contract with just cause"
Kuna kipengele hapo kingine kinafuatia kipo article ya 17 ya sheria za FIFA kinasema " unilateral termination of contract without just cause"
Ambacho hakihitaji kuwe na hayo mazungumzo/makubaliano ya pande zote mbili.
Ila consequences zake ndio zinazofanya watu wengi waogope kutumia kipengele hicho kwasababu ya ukali wa adhabu.
Adhabu ni faini kulingana na mkataba unavyosema, lakini pia kufungiwa na shirikisho lako la soka kwa kipindi cha muda wa miezi minne. Baada ya hapo upo huru kucheza popote.
Na rekodi za kesi kama hizi zipo mfano kuna mchezaji ambaye alifanya kama alivyofanya Feisali anaitwa Hakan Çalhanoğlu unaweza ukasoma kesi yake CAS.
Sasa inavyosemekana kwenye mkataba wa Feisali kiasi cha faini kilichoandikwa endapo mkataba huo ukavunjwa kiholela, pesa yake ni ndogo ambayo haiendi kuinfufaisha Club.
Hivyo wanaona watampa urahisi sana na Club haitafaidika, ila ingekuwa pesa ya faini ni kubwa basi kwa Club ingekuwa ni sherehe na hata yeye mwenyewe Feisali asingejaribu kuvunja mkataba.
Na kupitia sakata hili naskia wachezaji wanaosaini mikataba mipya wanawekewa faini za pesa nyingi ili kuwafanya washindwe kuondoka.
I'm going to shut my fck up and let my Glock talkWewe jamaa ni mjuaji na haujui Hakan alifanya maridhiano na timu yake ila sababu umejaa ujuaji endelea kukaza shingo
Kila kitu kinafanyika kwa mujibu wa sheria.Tangu lini TFF walipata mamlaka ya kuvunja mkataba halali? Huyu Mama anampoteza dogo
NdioTff Ina mkataba na Feisal? Je,Feisal na party ya pili(Yanga) walishajadiliana wakashindwana?
Si kweli.Hauwezi kuepuka hilo neno "Arudi" hata akienda huko CAS lazima anatakiwa arudi na mambo hayo matatu 1, kuboreshewa maslahi 2,Kusubiri mkataba uishe 3, na timu inayomtaka ili auzwe.Huo ndiyo utaratibu uliopo dunia nzima.Labda kama atatangaza kustaafu soka, lakini kama hajatangaza kustaafu soka lazima awe chini ya Yanga.Hilo haliepukiki
TFF haipiganii haki ya pande yoyote inasimamia utekelezaji wa sheriaKwahiyo unahisi nan anapigania haki za wachezaj ? serikali?
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Jana umemisikia Jasimine ?Kila kitu kinafanyika kwa mujibu wa sheria.
Kama kuna kanuni yoyote inayotaka tff ivunje mkataba ni lazima tff ihusishwe.