Jasmine Razack: Feitoto amekwisha fungua kesi CAS dhidi ya TFF na sio Yanga!

Jasmine Razack: Feitoto amekwisha fungua kesi CAS dhidi ya TFF na sio Yanga!

Feisal alishaona yanga hawawezi kumkubalia feisal avunje mkataba hata wangekaa mezani, kwa hyo akarudi kwenye kipengele cha kuvunja mkataba kwenye mkataba wake na akakitimiza, kwa hyo mpaka sasa feisal sio mchezaji wa yanga.

walichotakiwa kukifanya yanga ni kumshitaki fei, ila yanga wanajifanya wema eti fei arudi kwenye timu, je angefanya mchezaji mwengine hvo wasingemshitaki kwa huo utovu wa nidhamu?? Halafu wanazidi kujifanya wema eti mchezaji kavunja sheria na taratibu bado eti mnajidai mnamuingizia mshahara wake ili muonekane wema .

Yote haya ni kujifanya wema ila behind the scene Hersi na Yanga ndo wasababishi wa haya yote na wao wanajua ila mashabiki kazi yao ni kutetea liwe baya au zuri.
 
Mara nyingine usikurupuke tuu kuanza kuropoka, mchezaji akivunja mkataba bila kufuata taratibu Tff walipaswa wamuadhibu mchezaji kwa kosa alilo fanya, na hapo ndipo palipo na msingi wa kesi
Mashabiki wa yanga mna matatizo gani 🤔🤔
Wewe ni mpuuzi miongoni mwa wapuuzi na inawezekana ndiye mshauri wa uyo boya wenu, unajifanya mjuaji for nothing,,,kwaiyo misheni fei na genge lake ilikuwa ni iyo kwamba usiende kuitumikia klabu na utapewa adhabu utalipa na utakuwa huru sio? Alipolalia fei na wote mnaomsapoti ndipo walipoamkia yanga sawa bwana, iyo misheni waliipanga kipumbavu sana na isingefanikiwa na waliomshauri wote walikuwa amnazo,, walishindwa kusoma mkataba wa feisal hatua kwa hatua wakakurupukia kipengele kimoja tu wakaona wamemaliza kazi,, na tuambie huo mkataba ameuvunja lini na ameuvunja na nani labda
 
Kwani nani alisema Fei amewashitaki Yanga huko CAS? Dogo amekengeuka ,nadhani ameshiba fedha na kama hiyo kesi akishinda nipo CHANJAMJAWIRI nimekaa pale.
 
Ngoja nikufahamishe kitu, moja ya Sheria za Cas ni kwamba mchezaji halazimishwi kucheza timu asiyo itaka na mchezaji anaweza akavunja mkataba muda wowote iwe kwa halali au isivyo halali, kama akivunja mkataba isivyo halali basi atatakiwa kulipa fidia ya mkataba kulingana walivyo kubaliana katika kipengele cha kuvunja mkataba, na hicho kitu wangeweza kukiamua Tff lakini walishindwa kumchukulia hatua fei Toto kwa sababu zao binafsi wanazo jua wao
Naomba unipe hicho kifungu nipitie
 
Muulize shabiki yoyote wa Yanga. Binafsi unataka nn kutoka kwa Fei?

Jibu ni aache uhuni, afuate taratibu.

Ukishamuuliza tu taratibu zipi? zinaanza danadana za wakae mezani, anaitwa haendi, anatumika, mkataba hauvunjwi kiholela, kroo krooooo kroooo.

Huwezi sikia hata mmoja akitaja gharama za timu kumfikisha hapo ni kiasi hichi alipe aondoke.

Unajua kwanini? Sababu Hersi mpaka sasa inaonekana ishu sio pesa, ishu ni kumnyoosha Fei hivyo hasemi gharama na mashabiki hawawezi kutenganisha nia ya Hersi na nia Ya Yanga.
Hata mashabiki wanajua ila unajua hii nchi tupo kukomoanaa.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Wewe ni mpuuzi miongoni mwa wapuuzi na inawezekana ndiye mshauri wa uyo boya wenu, unajifanya mjuaji for nothing,,,kwaiyo misheni fei na genge lake ilikuwa ni iyo kwamba usiende kuitumikia klabu na utapewa adhabu utalipa na utakuwa huru sio? Alipolalia fei na wote mnaomsapoti ndipo walipoamkia yanga sawa bwana, iyo misheni waliipanga kipumbavu sana na isingefanikiwa na waliomshauri wote walikuwa amnazo,, walishindwa kusoma mkataba wa feisal hatua kwa hatua wakakurupukia kipengele kimoja tu wakaona wamemaliza kazi,, na tuambie huo mkataba ameuvunja lini na ameuvunja na nani labda
Kama kungekua na tuzo kwa ajili ya watu wanao tukana basi mashabiki wa yanga mngeshinda Kila mwaka hiyo tuzo, na ndio maana manara akasema yanga wenye akili ni wawili tuu, Leo nimeamini maneno yake
 
Kama kungekua na tuzo kwa ajili ya watu wanao tukana basi mashabiki wa yanga mngeshinda Kila mwaka hiyo tuzo, na ndio maana manara akasema yanga wenye akili ni wawili tuu, Leo nimeamini maneno yake
Jenga hoja usiŵe bendera fata upepo unameza kila unachoona mtandaoni bila kufatilia ukweli, watanzania mmekuwa wepesi sana kudandia matukio na kuyapa uzito usiotakiwa, uyo fei toto mnayemtetea kakiri kwa kinywa chake kuwa mkataba wake auna shida na wala hana shida na yanga isipokuwa ana shida na Eng.hersi, sasa mambo binafsi ya watu wawili unayaingizaje kwenye taasisi ya yanga? Nyie mbumbumbu bado mnaendelea kukomaa na ujinga ujinga wenu nendeni mkapambane na tff sasa uko cas tuone mtapata nini
 
Ndio mikataba inavunjwaga hivyo?

Sijui watu mnafikiria kwa njia gani sijui.

Fei mwenyewe anasema Hana shida na Yanga ila ana shida na Eng Hersi! Ye aliingia mkataba na Hersi au na Yanga?
Unatambua lolote kuhusu hoja anatumia Feisari kudai kuvunja mkataba?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Huna akili yanga walishitaki Ili Tff afanye nn
Kabla ya kutukana watu mngekua mnafatilia kwanza Yanga walipeleka kesi TFF kuhusu mchezaji kuvunja mkataba bila makubaliano jaribu kuwa muelewa
 
Back
Top Bottom