WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,373
- 3,139
Huna akili...Ngoja nikufahamishe kitu, moja ya Sheria za Cas ni kwamba mchezaji halazimishwi kucheza timu asiyo itaka na mchezaji anaweza akavunja mkataba muda wowote iwe kwa halali au isivyo halali, kama akivunja mkataba isivyo halali basi atatakiwa kulipa fidia ya mkataba kulingana walivyo kubaliana katika kipengele cha kuvunja mkataba, na hicho kitu wangeweza kukiamua Tff lakini walishindwa kumchukulia hatua fei Toto kwa sababu zao binafsi wanazo jua wao
Hakuna hicho kitu unachoita Sheria za CAS...., CAS ni chombo cha utatuzi wa migogoro upande wa Soka.
Sheria na Kanuni za FIFA ndio utoa miongozo,...
Vigezo vya mchezaji kuvunja mkataba vimebainishwa wazi na FIFA, nadhani muhimu viko vitatu tu, ambavyo vinangukia kwa Timu kushindwa kutimiza masharti kwa mchezaji, ndipo mchezaji anaweza kuvunja mkataba..
Mengine ni kwa makubaliano ya pande mbili,...zipo adhabu kwa wanaokiuka Mkataba.
CAS watawashangaza na hoja zenu mfu..