cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewavurugaa kabisaaa.Weeee!!! Hivi umefungua hata hiyo document kweli??
Hiyo ni single page we unasema 25 pages?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewavurugaa kabisaaa.Weeee!!! Hivi umefungua hata hiyo document kweli??
Hiyo ni single page we unasema 25 pages?
Acha janja bhanaa wee download na usome, afu urudi hapa kuchangia tenaaa.Mkuu nashindwa kuidownload hii attachment. Sijui kwanini
Nimeisoma mkuu. Sasa in relation na issue ya Fei, kuna mambo kadhaa inafaa kujiuliza
Amenitumia tena kwa format ya image, nimeisoma na kuijibu.Acha janja bhanaa wee download na usome, afu urudi hapa kuchangia tenaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
TFF walinunuliwa na Hanga sasa wacha wapigwe mayoweNi sahihi kabisa. Nilishawahi kusema TFF hawajatimiza wajibu wao.
Umejibu wapi mie sijaonaaaa mbna.Amenitumia tena kwa format ya image, nimeisoma na kuijibu.
Tff ndio iliingia mkataba na fei hadi iweze kuuvunja,hata huko cas dogo anaenda kuangukia puaIla wana mamlaka ya kumbakisha iwapo yeye ameiandika barua Yanga ya kuomba kuvunja mkataba.
cocasticNimeisoma mkuu. Sasa in relation na issue ya Fei, kuna mambo kadhaa inafaa kujiuliza
1. Why Fei alienda TFF badala ya CAS?. Let's say alikuwa anafatisha chain of command, hapa linaibuka swali la pili,
2. Why mashtaka yake cas yamekuwa against TFF na sio Yanga?
Mkuu kwanza unatakiwa ujue sio kila kesi inaanzia directly CASNimeisoma mkuu. Sasa in relation na issue ya Fei, kuna mambo kadhaa inafaa kujiuliza
1. Why Fei alienda TFF badala ya CAS?. Let's say alikuwa anafatisha chain of command, hapa linaibuka swali la pili,
2. Why mashtaka yake cas yamekuwa against TFF na sio Yanga?
Nimeonaaa.
Umesema ukweli kabisa. Swala La kuvunja mkataba wa Feitoo halina tofauti na Neymar alivyo toka barcelona kwenda PSGSi kweli.
Mkataba wake unaruhusu mchezaji kuvunja mkataba.Kilichofanyika ni ubabe tu kukataa kutumika kifungu hicho.Yanga walichemka kuweka kipengele kinachomruhusu kuvunja mkataba kwa kulipa milioni 100 na mishahara mitatu.
Suala la makubaliano ni siasa za mpira tu kwani ukweli upo katika mkataba.
Case ya huyo mturuki na huyu Mzenji zinaendana lakini zinatofauti kubwa moja. Huyo mturuki alivunja mkataba na kwenda kusajili kwingine. Huyu Mzenji hajavunja mkataba, ila ni kama vile alikuwa anapima upepo au kina Cha maji tu.Lakini pia kwenye ishu ya Hakan, sio Hakan ndiye aliyeenda kufungua kesi CAS. Ni Club yake ya Trabzonspor FC ndio iliyomshtaki.
Sasa ukisema tuje kwenye hoja hako hapo utaona yale malalamiko ya Yanga waliyopeleka TFF kumtuhumu Feisali kuvunja mkataba bila kufuata taratibu, ndio waliyopaswa kuyapeleka CAS kumshitaki Feisali.
Ila kwakua wao wameridhika na hukumu iliyotolewa kupitia kamati ya nidhamu ya TFF basi wao hawana interest ya kuendelea zaidi na hii case kwasababu wamepata kile wanachokitaka.
So kwakua Feisali hajaridhishwa na yale maamuzi ndio ya ile kamati ameamua aende CAS kukata rufaa kupinga ile hukumu ili apate haki yake anayodhani amenyimwa.
TFF wametimiza jukumu lao la kumrudisha kwenda kuzungumza na Yanga. Pia Yanga wametimiza jukumu lao kumuita kwa ajili ya mazungumzo, Maana mkataba huvunjwa kwa makubaliano ya pande mbili.Swala linabaki kwa mchezaji kuweka jeuri, asipokuwa makini huko CAS anaweza kuhukumiwa adhabu kubwa zaidi.
1. Yanga ndo walienda wakaambiwa huyo ni mchezaji wenu na Fei akaambiwa kaa na mwajiri wako ww ni mchezaji wao.
2. Wakakaa masaa 6 ikishindikana Fei akarudi TFF kuomba taratibu za kuvunja mkataba TFF wakamwambia nenda Yanga,
3. Fei akakata rufaa TFF wakamwambia hili suala tumemaliza nenda Yanga.
Fei akaenda CAS.
Mikataba ya huko ktk Soka mchezaji ni mali ya Klabu ...Umeiweka vema sana. TFF walipaswa kutoa maelekezo ya tafsiri ya mkataba maana tayar Fei alishashindwana na Yanga.
Wao wanamlazimisha arudi.
Hata kama asingeenda kusajili sehemu yeyote kinachoangaliwa ni kuvunja mkatabaCase ya huyo mturuki na huyu Mzenji zinaendana lakini zinatofauti kubwa moja. Huyo mturuki alivunja mkataba na kwenda kusajili kwingine. Huyu Mzenji hajavunja mkataba, ila ni kama vile alikuwa anapima upepo au kina Cha maji tu.
Na ndio maana unaona hayupo kwenye timu yoyote mpaka sasa. Na hata Yanga, wasingeweza kwenda CAS kwa issue ya utovu wa nidhamu, wakaenda TFF.
Fei hayupo serious na hajui anachokifanya. Ukitaka kuamini ilo, angalia mwendo wa swala lake kutokea upande wake. Weka ushabiki pembeni, alaf tuliangalie kwa utashi usio na maslahi ya utani wa jadi.
1. Sakata lilipoanza, alisema ameondoka kwa amani baada ya kutimiza masharti ya kimkataba (namna ya kuuvunja)
2. Yanga walipogoma na kurudisha hela aliyodeposit, Fei akaanza kusema kilichomuondoa Yanga ni maslahi maana analipwa kidogo sana tofauti na uwezo wake.
3. Baadae akaja na kusema hana tena mapenzi na Yanga, na hayupo tayari kucheza Yanga hata iweje, wamuache aondoke.
4. Akarudi na kubadili kauli, Hersi akiondoka tu, yeye yupo tayari kurudi kucheza Yanga. Maana kikwazo kwake ni Hersi
5. Hapo hapo akasema, yeye hajui kusoma Kiingereza. Walikubaliana miaka 2, ila Yanga wakasainisha 3.
6. Mara Yanga walikuwa wanamlaumu anafungisha timu.
Sasa hebu jaribu kuangalia hizo sababu zote hapo juu, hasa hiyo 5 na 6. Hiyo namba 6, hata kama wewe ni shabiki wa Simba, katika ile unbeaten 49, nani alikuwa on form sana kwenye dimba kuliko Fei?. Takribani miaka miwili hatujapoteza mechi, sasa yeye alikuwa anafungisha mechi zipi
Na hiyo hoja namba 5, kwa mtu yeyote makini hiyo ndio hoja ya kumuona Fei ni muongo. Wakati yeye na jopo lake wanaupitia mkataba wake kuangalia weakness, ilo hawakuliona? Mbona kwenye vikao vyote na TFF halikuwahi kuongelewa hata mara moja wakati ni hoja muhimu sana?
Na hata huko cas alipoenda, imekuwa rahisi yeye kuishitaki TFF maana hana hoja ya msingi kuhusu Yanga. And am sure hata huko ataangukia pua tu.
Broh taarifa yenye versions tofauti tofauti, huo uongo. Taarifa ya ukweli huwa inajisimamia. Dogo yupo under influence, na angekuwa na akili, basi wangeenda direct, officially kuongea na Yanga. Kule najua solution ingepatikana. Hata kama kweli hakuna timu inamtaka, angeweza kununua mkataba wake mwenyewe kwa dau watakalo kubaliana.
Ila hii kwenda CAS ni kupoteza hela na muda. Kina Sureboy,Morris na Mudathir waligoma huko Azam, wakasimamishwa. Lakini hakuna choko choko walizoleta, tofauti na huyu Fei.
Kitu cha mwisho ambacho naomba ujiulize. Hivi kwanini sakata lake huwa analiibua kila Yanga inapokuwa inakabiliwa na mechi muhimu? Against Azam, Simba, Monstir, USMA?
We unatakaje sasa!?Hata kama asingeenda kusajili sehemu yeyote kinachoangaliwa ni kuvunja mkataba
Kuna kipengele kimoja kinaelezea kuwa "jaribio lolote la kuvunja mkataba iwe kwasababu au bila sababu, mchezaji hana obligation ya kuendelea kuwa muajiriwa wa hiyo Club"
Kwa hiyo hapo kilichoangaliwa ni kitendo cha kuvunja mkataba sio kusaini mkataba na timu nyingine.
Lakini pia nataka nikukumbushe tu kuwa mchezaji anaweza akavunja mkataba na kuwa free bila kusaini na Club yoyote hii inaitwa "kununua mkataba wako"
Halafu pia sio kweli kuwa Hakan hana timu mpaka sasa, juzi tarehe 27 alikuwa uwanjani dhidi ya Atlanta.
Kuhusu madai ya Feisali
Feisali alisema amevunja mkataba kulingana na vipengele vya mkataba viliavyoandikwa.
Vipengele vilisema ili mkataba uvunjwe unatakiwa kurudisha signing fee ambayo mi 100M plus mshahara wa miezi mitatu ambayo ni 12M
Hayo ndio yaliokuwa masharti kwenye mkataba wake yanayomtaka atimize ili mkataba uvunjwe
Na hata Yanga nao wanakiri kuwa ni kweli vifungu hivi vipo ila wao wanadai havikupaswa vichukuliwe peke yake bila kuangalia na vitu vingine.
Kwa hiyo hapa hata mkataba nao una dosari
Lakini pamoja na hiyo tukirudi kwenye ile sheria ya FIFA inayosema "jaribio lolote la kuvunja mkataba iwe kwasababu au bila sababu mchezaji hana obligation ya kuendelea kuwa mwajiriwa wa Club hiyo"
Maamuzi ya kusema Feisali bado ni mchezaji wa Yanga hayakufuata misingi na kanuni za FIFA
Sasa kinachomzuia Fei kununua mkataba wake ni kipi?. Kama hana timu inayomtaka, basi walau aununue yeye, then awe free agent.Lakini pia nataka nikukumbushe tu kuwa mchezaji anaweza akavunja mkataba na kuwa free bila kusaini na Club yoyote hii inaitwa "kununua mkataba wako"
Hapa mtani nadhan umeniquote vibaya, maana hakuna sehemu niliyosema jamaa hana timuHalafu pia sio kweli kuwa Hakan hana timu mpaka sasa, juzi tarehe 27 alikuwa uwanjani dhidi ya Atlanta.
Kama hayo ndio yalikuwa matakwa ya kuvunja mkataba, huoni kama Fei angekuwa na nguvu sana kwenye hii kesi? I mean wala asingekuwa anabadili ajenda kila kukicha.Kuhusu madai ya Feisali
Feisali alisema amevunja mkataba kulingana na vipengele vya mkataba viliavyoandikwa.
Vipengele vilisema ili mkataba uvunjwe unatakiwa kurudisha signing fee ambayo mi 100M plus mshahara wa miezi mitatu ambayo ni 12M
Hayo ndio yaliokuwa masharti kwenye mkataba wake yanayomtaka atimize ili mkataba uvunjwe
Kama Yanga wamesema hivyo, huoni kama kuna mantiki? Maana wao pia wanaujua huo mkataba? Je, umefanikiwa kuvijua hivyo vitu vingine vinavyopaswa kuangaliwa?Na hata Yanga nao wanakiri kuwa ni kweli vifungu hivi vipo ila wao wanadaihavikupaswa vichukuliwe peke yake bila kuangalia na vitu vingine.
Lengo ni yeye kuondoka Yanga, kama mkataba una dosari, why hao mawakili zake wasitumie hizo dosari kukamilisha takwa la mteja wao, ili aondoke Yanga?Kwa hiyo hapa hata mkataba nao una dosari
Sawa, mchezaji hatokuwa tena obliged kuendelea kuchezea hiyo timu, ila je, anaondokaje?Lakini pamoja na hiyo tukirudi kwenye ile sheria ya FIFA inayosema "jaribio lolote la kuvunja mkataba iwe kwasababu au bila sababu mchezaji hana obligation ya kuendelea kuwa mwajiriwa wa Club hiyo"
Hapa sasa ndio nakuona Fei na jopo lake wote ni wahuni. Why huko cas wasingeambatanisha nakala ya hii hukumu, huku wakiendelea kuishitaki Yanga?. Why wamesema hawajapeleka malalamiko yoyote dhidi ya Yanga?Maamuzi ya kusema Feisali bado ni mchezaji wa Yanga hayakufuata misingi na kanuni za FIFA
Anapokuwa na matatizo na Rais wa taasisi fulani tayari mazingira ya kazi yameharibika kwasababu hakuna namna unaweza kuukwepa mkono wa Rais ndani ya club hiyo zaidi ya kuhama.Ndio mikataba inavunjwaga hivyo?
Sijui watu mnafikiria kwa njia gani sijui.
Fei mwenyewe anasema Hana shida na Yanga ila ana shida na Eng Hersi! Ye aliingia mkataba na Hersi au na Yanga?