Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa naipenda sana confidence yako unapozungumzia ujinga. Kwahiyo hauoni kabisa namna ambavyo TFF inahusika na hili swala?Feisal ana mkataba na TFF? niwekee kifungu kinachoipa mamlaka TFF kuvunja mkataba halali kati ya timu na mchezaji
Sasa mkuu unawezaje kuona hoja ya kipumbafu alafu u take your time unaisoma weeee unai quote unaijibu kwa maelezo mareeeeefu. Mpumbafu ni Nani hapa hivi kati yetu?Anapokuwa na matatizo na Rais wa taasisi fulani tayari mazingira ya kazi yameharibika kwasababu hakuna namna unaweza kuukwepa mkono wa Rais ndani ya club hiyo zaidi ya kuhama.
Hoja ya kusema kuwa Feisal hakuingia mkataba na Hersi (aliingia na yanga) na kwamba anatakiwa aendelee kubaki Yanga ni ya kipumbavu, kwakua hakuna namna unaweza kuitenga Hersi na Yanga Sc?
Hoja ya ugomvi na Rais imezalishwa makusudi kwa lengo hilo....,Anapokuwa na matatizo na Rais wa taasisi fulani tayari mazingira ya kazi yameharibika kwasababu hakuna namna unaweza kuukwepa mkono wa Rais ndani ya club hiyo zaidi ya kuhama.
Hoja ya kusema kuwa Feisal hakuingia mkataba na Hersi (aliingia na yanga) na kwamba anatakiwa aendelee kubaki Yanga ni ya kipumbavu, kwakua hakuna namna unaweza kuitenga Hersi na Yanga Sc?
Kinachomzuia mbona kinafahamika kuwa ni ugumu unaowekwa na Yanga ikishirikiana na TFFSasa kinachomzuia Fei kununua mkataba wake ni kipi?. Kama hana timu inayomtaka, basi walau aununue yeye, then awe free agent.
Hebu jaribu kureverse situation, what if Yanga ndio wangeamua kuwa hawataki kuendelea na Fei, nini kingefanyika kutimiza ili jambo?
Kweli kabisa nilijua umemaanisha Hakan, kumbe ulikusudia FeisaliHapa mtani nadhan umeniquote vibaya, maana hakuna sehemu niliyosema jamaa hana timu
Tunaangakia sheria ndio tunajua kuna nguvu au tunaangalia madai na speculations za watu?Kama hayo ndio yalikuwa matakwa ya kuvunja mkataba, huoni kama Fei angekuwa na nguvu sana kwenye hii kesi? I mean wala asingekuwa anabadili ajenda kila kukicha.
Mkuu kupitia reference ya jesi ya Morrison kwanza nataka nikukumbushe kitu.Refer kesi ya Morison na Yanga. Ni kweli Morrison alikosea, lakini yale makaratasi waliyoandikishiana mikataba ya awali yalikuwa yana mfavor yeye. Na ndio maana hata yeye na washirika wake Simba, walikuwa so confident, hadi kufikia hatua ya kumtambulisha kama mchezaji wao.
Ndio wanaweza kuwa na mantiki.Kama Yanga wamesema hivyo, huoni kama kuna mantiki? Maana wao pia wanaujua huo mkataba? Je, umefanikiwa kuvijua hivyo vitu vingine vinavyopaswa kuangaliwa?
Mkuu, alichofanya Fei nakiita uhuni, kutokana na njia alizotumia.Kinachomzuia mbona kinafahamika kuwa ni ugumu unaowekwa na Yanga ikishirikiana na TFF
Unafikiri kurudisha pesa halikuwa jaribio la kununua mkataba wake?
Sasa hiyo ya pande mbili si ndio mutual agreementMkuu, alichofanya Fei nakiita uhuni, kutokana na njia alizotumia.
Kuvunja mkataba, sio lazima Fei aonane na uongozi wa Yanga, ila ni lazima hizo pande mbili zifanye mawasiliano. Wawakilishi wake wanatakiwa/walitakiwa kuwasiliana na Yanga kwa dhumuni la kuwafahamisha takwa lao la kuvunja mkataba, then pande zote mbili zikae kwa pamoja kutafsiri mkataba, Kisha uvunjwe.
Ila alichofanya Fei, katuma hela kwenye account, Kisha kaandika barua mtandaoni ya kusema amevunja mkataba, anaondoka. Seriously??
Iko hivi Kuna hujuma au kurubuniwa Feisal dhidi ya Yanga ...Sasa hiyo ya pande mbili si ndio mutual agreement
Lakini unlliterally termination of contract without just cause haihitaji hayo mazungumzo
Ila kuna adhabu za faini na kifungo
Mzungu WA Simba alipovunja mkataba walimfanya Nini?Msimamizi wa Feisal Salum, Bi. Jasmine Razack asubuhi hii amesema kuwa, tayari Feisal amelipa pesa ya awali na amefungua jalada (CAS).
Amesema, kwenye kesi hiyo, Feisal hajaishitaki Yanga huko CAS, ameishitaki (TFF) kwa kushindwa kuvunja mkataba wake na Yanga na kumuamuru arejee Yanga.
"Shauri ni baina ya (TFF) na Feisal. Yanga hawahusiki, hajawashitaki," Jasmine Razack.
View attachment 2643365
Kwa mzungu wa SimbaMzungu WA Simba alipovunja mkataba walimfanya Nini?
Kwahiyo hapo ulitaka Yanga waipokee ile 112 Kisha wamuache aondoke?Sasa hiyo ya pande mbili si ndio mutual agreement
Lakini unlliterally termination of contract without just cause haihitaji hayo mazungumzo
Ila kuna adhabu za faini na kifungo
Labda ngoja nikuulize swali, hiyo adhabu unayosema, ni kitu gani kina determine amount ya adhabu? Mfano Hakan alitozwa £100k. Ni kitu gani kina determine amount anayotozwa mchezaji?Ndio wanaweza kuwa na mantiki.
Lakini angalia tafsiri yake inapokuja
Tafsiri ya mwisho itakayokuja kama Yanga wana mantiki ni Feisali ataonekana amefanya kosa la kuvunja mkataba bila kufuata sheria.
Hivyo hiyo ndio itazidi kuongeza sababu za msingi kwanini Feisali anatakiwa kupewa adhabu ya kufungiwa na kulipishwa faini kisha aondoke.
Yani kama kuna sehemu Feisali anaonekana amefanya kosa basi hapo ndio mnapozidi kukosa hoja za kwanini muendelee kubaki naye ilihali amefanya makosa ambayo kumuwajibisha ni kumlipisha faini na kumfungia kisha mumtimue.
Lakini hayo yote mmeyaacha na kumrudisha Yanga aendelee kusalia kwenu.
Kama anaendelea kusalia kwenu bila adhabu basi hamna haki ya kusema alivunja mkataba bila kufuata sheria.
Sielewi why ya Morison ilikuwa open. Ila kwa upande wa Fei, nature ya sakata lenyewe halijaanza kwa uwazi. Na hata linavyoendelea Unaona kabisa baadhi ya vitu havimake sense. Hivyo kuhusisha waandishi wa habari, hapo ni kuzidi kumchanganya mlalamikaji, ambae ni FeiMkuu kupitia reference ya kesi ya Morrison kwanza nataka nikukumbushe kitu.
Unaelewa kwanini kesi ya Morrison ilikuwa open hadi waandishi wa habari waliruhusiwa kuuliza maswali kuhusu mwenendo wa kesi?
Halafu unaelewa kwanini kesi ya Feisali imefanyika gizani bila hata waandishi wa habari kupewa room ya kuuliza maswali?
Tunaangalia vyote viwili, sheria na madai husika. Hapo ndio tunaweza kupima ni Kwa namna gani kesi imetukalia vizuri au vibaya.Tunaangalia sheria ndio tunajua kuna nguvu au tunaangalia madai na speculations za watu?
TFF wameshindwa ku solve hii case fair kulingana na sheria, kwasababu kupitia malalamiko ambayo yaliwasilishwa na Yanga kisha hukumu iliyotolewa utaona ni irrelevant
Malalamiko yanasema Feisali alivunja mkataba bila kufuata sheria. Sheria za FIFA zinasemaje katika mazingira haya?
1. Jaribio lolote la kuvunja mkataba iwe kwasababu (with just cause) au bila sababu (without just cause) mchezaji hawezi kuendelea kuwa muajiriwa wa hiyo Club
2. Calculation of compassion inataka mchezaji aadhibiwe kwa kulipishwa faini kulingana na mkataba, kisha afungiwe miezi minne baada ya hapo anakuwa huru.
Maamuzi ya TFF yaliyokuja
Feisali bado ni mchezaji wa Yanga
How?
Wanaomtetea Fei wanatetea Ujinga,!? Nyuma ya Fei Kuna Klabu ipo...Kwahiyo hapo ulitaka Yanga waipokee ile 112 Kisha wamuache aondoke?
Labda ngoja nikuulize swali, hiyo adhabu unayosema, ni kitu gani kina determine amount ya adhabu? Mfano Hakan alitozwa £100k. Ni kitu gani kina determine amount anayotozwa mchezaji?
Sielewi why ya Morison ilikuwa open. Ila kwa upande wa Fei, nature ya sakata lenyewe halijaanza kwa uwazi. Na hata linavyoendelea Unaona kabisa baadhi ya vitu havimake sense. Hivyo kuhusisha waandishi wa habari, hapo ni kuzidi kumchanganya mlalamikaji, ambae ni Fei
Tunaangalia vyote viwili, sheria na madai husika. Hapo ndio tunaweza kupima ni Kwa namna gani kesi imetukalia vizuri au vibaya.
Ukweli utadhihirika tu. Ila nisingependa kumuona tena akiwa na jezi ya YangaWanaomtetea Fei wanatetea Ujinga,!? Nyuma ya Fei Kuna Klabu ipo...
Kuna kurubuniwa mchezaji, Kuna hujuma dhidi ya Yanga....
Ukweli uko njiani....soon
Iyo Iko wazi....Ukweli utadhihirika tu. Ila nisingependa kumuona tena akiwa na jezi ya Yanga
Hapo sio swala la matakwa yangu, hapo ni nini kifanyike kulingana na sheria.Kwahiyo hapo ulitaka Yanga waipokee ile 112 Kisha wamuache aondoke?