Jasmine Razack: Feitoto amekwisha fungua kesi CAS dhidi ya TFF na sio Yanga!

Jasmine Razack: Feitoto amekwisha fungua kesi CAS dhidi ya TFF na sio Yanga!

Kwanini mmelipa fedha za awali,wakati tumeamua mturudishie .tulichanga tukijua anapogania maslahi ya wazawa kumbe ana bifu lake na eng Hersi,sio maslahi Kama alivyotuaminisha awali!Utapeli utapeli
 
Feisal ana mkataba na TFF? niwekee kifungu kinachoipa mamlaka TFF kuvunja mkataba halali kati ya timu na mchezaji
Huwa naipenda sana confidence yako unapozungumzia ujinga. Kwahiyo hauoni kabisa namna ambavyo TFF inahusika na hili swala?

Ukiuliza hivyo na mimi nitakuuliza, TFF inatumia vifungu vipi kuingilia na kuzuia harakati za Feisal kuvunja mkataba wake aliouingia na Yanga? Maana kiuhalisia, kuandika barua ni moja kati ya hatua za awali za kuvunja mkataba sehemu yoyote ile.
 
Anapokuwa na matatizo na Rais wa taasisi fulani tayari mazingira ya kazi yameharibika kwasababu hakuna namna unaweza kuukwepa mkono wa Rais ndani ya club hiyo zaidi ya kuhama.

Hoja ya kusema kuwa Feisal hakuingia mkataba na Hersi (aliingia na yanga) na kwamba anatakiwa aendelee kubaki Yanga ni ya kipumbavu, kwakua hakuna namna unaweza kuitenga Hersi na Yanga Sc?
Sasa mkuu unawezaje kuona hoja ya kipumbafu alafu u take your time unaisoma weeee unai quote unaijibu kwa maelezo mareeeeefu. Mpumbafu ni Nani hapa hivi kati yetu?
 
Anapokuwa na matatizo na Rais wa taasisi fulani tayari mazingira ya kazi yameharibika kwasababu hakuna namna unaweza kuukwepa mkono wa Rais ndani ya club hiyo zaidi ya kuhama.

Hoja ya kusema kuwa Feisal hakuingia mkataba na Hersi (aliingia na yanga) na kwamba anatakiwa aendelee kubaki Yanga ni ya kipumbavu, kwakua hakuna namna unaweza kuitenga Hersi na Yanga Sc?
Hoja ya ugomvi na Rais imezalishwa makusudi kwa lengo hilo....,

Ili kuipa uzito hoja yao uko CAS...ila upande wa Hers utahojiwa uko CAS nao ukweli utajitenga na uzushi....

Wamekosa hoja ya kuvunja mkataba kwa vifungu, wanatafuta mazingira kuhalalisha uovu wao ...

Huyo mpemba atashindwa kwa Aibu huko CAS.
 
Sasa kinachomzuia Fei kununua mkataba wake ni kipi?. Kama hana timu inayomtaka, basi walau aununue yeye, then awe free agent.

Hebu jaribu kureverse situation, what if Yanga ndio wangeamua kuwa hawataki kuendelea na Fei, nini kingefanyika kutimiza ili jambo?
Kinachomzuia mbona kinafahamika kuwa ni ugumu unaowekwa na Yanga ikishirikiana na TFF

Unafikiri kurudisha pesa halikuwa jaribio la kununua mkataba wake?
 
Kama hayo ndio yalikuwa matakwa ya kuvunja mkataba, huoni kama Fei angekuwa na nguvu sana kwenye hii kesi? I mean wala asingekuwa anabadili ajenda kila kukicha.
Tunaangakia sheria ndio tunajua kuna nguvu au tunaangalia madai na speculations za watu?

TFF wameshindwa ku solve hii case fair kulingana na sheria, kwasababu kupitia malalamiko ambayo yaliwasilishwa na Yanga kisha hukumu iliyotolewa utaona ni irrelevant

Malalamiko yanasema Feisali alivunja mkataba bila kufuata sheria. Sheria za FIFA zinasemaje katika mazingira haya?

1. Jaribio lolote la kuvunja mkataba iwe kwasababu (with just cause) au bila sababu (without just cause) mchezaji hawezi kuendelea kuwa muajiriwa wa hiyo Club

2. Calculation of compassion inataka mchezaji aadhibiwe kwa kulipishwa faini kulingana na mkataba, kisha afungiwe miezi minne baada ya hapo anakuwa huru.

Maamuzi ya TFF yaliyokuja

Feisali bado ni mchezaji wa Yanga

How?
 
Refer kesi ya Morison na Yanga. Ni kweli Morrison alikosea, lakini yale makaratasi waliyoandikishiana mikataba ya awali yalikuwa yana mfavor yeye. Na ndio maana hata yeye na washirika wake Simba, walikuwa so confident, hadi kufikia hatua ya kumtambulisha kama mchezaji wao.
Mkuu kupitia reference ya jesi ya Morrison kwanza nataka nikukumbushe kitu.

Unaelewa kwanini kesi ya Morrison ilikuwa open hadi waandishi wa habari waliruhusiwa kuuliza maswali kuhusu mwenendo wa kesi?

Halafu unaelewa kwanini kesi ya Feisali imefanyika gizani bila hata waandishi wa habari kupewa room ya kuuliza maswali?
 
Kama Yanga wamesema hivyo, huoni kama kuna mantiki? Maana wao pia wanaujua huo mkataba? Je, umefanikiwa kuvijua hivyo vitu vingine vinavyopaswa kuangaliwa?
Ndio wanaweza kuwa na mantiki.

Lakini angalia tafsiri yake inapokuja

Tafsiri ya mwisho itakayokuja kama Yanga wana mantiki ni Feisali ataonekana amefanya kosa la kuvunja mkataba bila kufuata sheria.

Hivyo hiyo ndio itazidi kuongeza sababu za msingi kwanini Feisali anatakiwa kupewa adhabu ya kufungiwa na kulipishwa faini kisha aondoke.

Yani kama kuna sehemu Feisali anaonekana amefanya kosa basi hapo ndio mnapozidi kukosa hoja za kwanini muendelee kubaki naye ilihali amefanya makosa ambayo kumuwajibisha ni kumlipisha faini na kumfungia kisha mumtimue.

Lakini hayo yote mmeyaacha na kumrudisha Yanga aendelee kusalia kwenu.

Kama anaendelea kusalia kwenu bila adhabu basi hamna haki ya kusema alivunja mkataba bila kufuata sheria.
 
Kinachomzuia mbona kinafahamika kuwa ni ugumu unaowekwa na Yanga ikishirikiana na TFF

Unafikiri kurudisha pesa halikuwa jaribio la kununua mkataba wake?
Mkuu, alichofanya Fei nakiita uhuni, kutokana na njia alizotumia.

Kuvunja mkataba, sio lazima Fei aonane na uongozi wa Yanga, ila ni lazima hizo pande mbili zifanye mawasiliano. Wawakilishi wake wanatakiwa/walitakiwa kuwasiliana na Yanga kwa dhumuni la kuwafahamisha takwa lao la kuvunja mkataba, then pande zote mbili zikae kwa pamoja kutafsiri mkataba, Kisha uvunjwe.

Ila alichofanya Fei, katuma hela kwenye account, Kisha kaandika barua mtandaoni ya kusema amevunja mkataba, anaondoka. Seriously??
 
Sasa hiyo ya pande mbili si ndio mutual agreement

Lakini unlliterally termination of contract without just cause haihitaji hayo mazungumzo

Ila kuna adhabu za faini na kifungo
 
Sasa hiyo ya pande mbili si ndio mutual agreement

Lakini unlliterally termination of contract without just cause haihitaji hayo mazungumzo

Ila kuna adhabu za faini na kifungo
Iko hivi Kuna hujuma au kurubuniwa Feisal dhidi ya Yanga ...

Na ndicho Yanga wanataka kukithibitisha...

Moja wameshathibitisha mbele ya TFF, kuwa Fei hakufuata taratibu Bali uhuni( hapa hujuma na kurubuniwa mchezaji itathibitishwa) TFF wakathibitisha mkataba unaishi na mchezaji Mali ya Yanga

Hicho kipengele cha kuvunja mkataba without just couse, ndicho Fei na wawakilishi wake wanataka kutembea nacho Ili kuficha Dai la hujuma dhidi ya Yanga .

Ndio maana wanamshitaki TFF huko CAS kwa hilo na kuiondoa Yanga...

Yanga kashaanzisha mchakato wa kumchukulia hatua za nidhamu mchezaji wake....haitoishia hapo, Bali Yanga watafika mpaka TFF tena na wasiporidhiana huko CAS itahusika...

Vyombo huru vitachunguza kuanzia Miliooo mia 12 ilivyopatikana, kuingizwa kwake kuhuni ktk account ya Yanga Kwa jaribuo la kuvunja mkataba...

Kumbuka yametokea siku Moja kabla Yanga hajacheza mechi na Azam na mchezaji alikuwa kambini kisha akatoweka ..

Uchunguzi wa hili shauri hautawaacha Salama Fei na washirika wake....

Haya mambo mchezaji sijui hana furaha, mara manyanyaso, sijui kanitukania mama ....ni kutapatapa kwa Fei...

Sio rahisi kihivyo, eti Unilliterally termination of contact without just couse inaruhusiwa tu,

Ni mchakato....Fei kajichanganya.
 
Msimamizi wa Feisal Salum, Bi. Jasmine Razack asubuhi hii amesema kuwa, tayari Feisal amelipa pesa ya awali na amefungua jalada (CAS).

Amesema, kwenye kesi hiyo, Feisal hajaishitaki Yanga huko CAS, ameishitaki (TFF) kwa kushindwa kuvunja mkataba wake na Yanga na kumuamuru arejee Yanga.

"Shauri ni baina ya (TFF) na Feisal. Yanga hawahusiki, hajawashitaki," Jasmine Razack.

View attachment 2643365
Mzungu WA Simba alipovunja mkataba walimfanya Nini?
 
Yanga sio gereza kwamba ukiingia huruhusiwi kutoka ...na hakuna mkataba Duniani ambao Hauna kipengele Cha kuvunja mkataba huo haupo ....nakama Kuna mkataba wa hivyo ni wakidikteta ....ndoa zinafungwa kanisani na zinavunjika itakuwa mpira? Hebu watupumzishe
 
Mzungu WA Simba alipovunja mkataba walimfanya Nini?
Kwa mzungu wa Simba

Simba walikiuka vifungu vya mkataba ndio maana ilikuwa easy...

Kwa Fei, Yanga wametimiza matakwa ya Mkataba yote....

Hivyo ni ngumu kuamka tu nakusoma navunja Mkataba ..

Hivyo tu.
 
Sasa hiyo ya pande mbili si ndio mutual agreement

Lakini unlliterally termination of contract without just cause haihitaji hayo mazungumzo

Ila kuna adhabu za faini na kifungo
Kwahiyo hapo ulitaka Yanga waipokee ile 112 Kisha wamuache aondoke?
Ndio wanaweza kuwa na mantiki.

Lakini angalia tafsiri yake inapokuja

Tafsiri ya mwisho itakayokuja kama Yanga wana mantiki ni Feisali ataonekana amefanya kosa la kuvunja mkataba bila kufuata sheria.

Hivyo hiyo ndio itazidi kuongeza sababu za msingi kwanini Feisali anatakiwa kupewa adhabu ya kufungiwa na kulipishwa faini kisha aondoke.

Yani kama kuna sehemu Feisali anaonekana amefanya kosa basi hapo ndio mnapozidi kukosa hoja za kwanini muendelee kubaki naye ilihali amefanya makosa ambayo kumuwajibisha ni kumlipisha faini na kumfungia kisha mumtimue.

Lakini hayo yote mmeyaacha na kumrudisha Yanga aendelee kusalia kwenu.

Kama anaendelea kusalia kwenu bila adhabu basi hamna haki ya kusema alivunja mkataba bila kufuata sheria.
Labda ngoja nikuulize swali, hiyo adhabu unayosema, ni kitu gani kina determine amount ya adhabu? Mfano Hakan alitozwa £100k. Ni kitu gani kina determine amount anayotozwa mchezaji?

Mkuu kupitia reference ya kesi ya Morrison kwanza nataka nikukumbushe kitu.

Unaelewa kwanini kesi ya Morrison ilikuwa open hadi waandishi wa habari waliruhusiwa kuuliza maswali kuhusu mwenendo wa kesi?

Halafu unaelewa kwanini kesi ya Feisali imefanyika gizani bila hata waandishi wa habari kupewa room ya kuuliza maswali?
Sielewi why ya Morison ilikuwa open. Ila kwa upande wa Fei, nature ya sakata lenyewe halijaanza kwa uwazi. Na hata linavyoendelea Unaona kabisa baadhi ya vitu havimake sense. Hivyo kuhusisha waandishi wa habari, hapo ni kuzidi kumchanganya mlalamikaji, ambae ni Fei
Tunaangalia sheria ndio tunajua kuna nguvu au tunaangalia madai na speculations za watu?

TFF wameshindwa ku solve hii case fair kulingana na sheria, kwasababu kupitia malalamiko ambayo yaliwasilishwa na Yanga kisha hukumu iliyotolewa utaona ni irrelevant

Malalamiko yanasema Feisali alivunja mkataba bila kufuata sheria. Sheria za FIFA zinasemaje katika mazingira haya?

1. Jaribio lolote la kuvunja mkataba iwe kwasababu (with just cause) au bila sababu (without just cause) mchezaji hawezi kuendelea kuwa muajiriwa wa hiyo Club

2. Calculation of compassion inataka mchezaji aadhibiwe kwa kulipishwa faini kulingana na mkataba, kisha afungiwe miezi minne baada ya hapo anakuwa huru.

Maamuzi ya TFF yaliyokuja

Feisali bado ni mchezaji wa Yanga

How?
Tunaangalia vyote viwili, sheria na madai husika. Hapo ndio tunaweza kupima ni Kwa namna gani kesi imetukalia vizuri au vibaya.
 
Kwahiyo hapo ulitaka Yanga waipokee ile 112 Kisha wamuache aondoke?

Labda ngoja nikuulize swali, hiyo adhabu unayosema, ni kitu gani kina determine amount ya adhabu? Mfano Hakan alitozwa £100k. Ni kitu gani kina determine amount anayotozwa mchezaji?

Sielewi why ya Morison ilikuwa open. Ila kwa upande wa Fei, nature ya sakata lenyewe halijaanza kwa uwazi. Na hata linavyoendelea Unaona kabisa baadhi ya vitu havimake sense. Hivyo kuhusisha waandishi wa habari, hapo ni kuzidi kumchanganya mlalamikaji, ambae ni Fei

Tunaangalia vyote viwili, sheria na madai husika. Hapo ndio tunaweza kupima ni Kwa namna gani kesi imetukalia vizuri au vibaya.
Wanaomtetea Fei wanatetea Ujinga,!? Nyuma ya Fei Kuna Klabu ipo...

Kuna kurubuniwa mchezaji, Kuna hujuma dhidi ya Yanga....

Ukweli uko njiani....soon
 
Wanaomtetea Fei wanatetea Ujinga,!? Nyuma ya Fei Kuna Klabu ipo...

Kuna kurubuniwa mchezaji, Kuna hujuma dhidi ya Yanga....

Ukweli uko njiani....soon
Ukweli utadhihirika tu. Ila nisingependa kumuona tena akiwa na jezi ya Yanga
 
Kwahiyo hapo ulitaka Yanga waipokee ile 112 Kisha wamuache aondoke?
Hapo sio swala la matakwa yangu, hapo ni nini kifanyike kulingana na sheria.

Kwani sheria zinasema pesa irudishwe kisha mchezaji ahesabike kuwa hajavunja mkataba?

Kama mkataba wake ulikuwa na pesa ndogo ya faini kwenye kuvunja mkataba kurudisha ni uoga.
 
Back
Top Bottom