Jasmine Razack: Feitoto amekwisha fungua kesi CAS dhidi ya TFF na sio Yanga!

Labda ngoja nikuulize swali, hiyo adhabu unayosema, ni kitu gani kina determine amount ya adhabu? Mfano Hakan alitozwa £100k. Ni kitu gani kina determine amount anayotozwa mchezaji?
Huko juu nimelielezea na sasa ngoja nirudie.

Ni kwamba adhabu ya faini inatozwa kulingana na masharti ya faini ya mkataba yanavyosema.

Sasa Yanga inasemekana mkataba wake na Feisali haukuwa na kiwango kikubwa cha faini.

Na hivyo kufanya Feisali ajitose kwasababu ni pesa ambayo ipo kwenye uwezo wake.

Lakini tangu hili sakata limeanza zipo habari kuwa wanaosainishwa mikataba mipya wamewekewa faini kubwa ya pesa ambayo wao wenyewe hawawezi kuthibutu kuvunja mkataba bila kufanya makubaliano.
 
Sielewi why ya Morison ilikuwa open. Ila kwa upande wa Fei, nature ya sakata lenyewe halijaanza kwa uwazi. Na hata linavyoendelea Unaona kabisa baadhi ya vitu havimake sense. Hivyo kuhusisha waandishi wa habari, hapo ni kuzidi kumchanganya mlalamikaji, ambae ni Fei

Tunaangalia vyote viwili, sheria na madai husika. Hapo ndio tunaweza kupima ni Kwa namna gani kesi imetukalia vizuri au vibaya.
Nature ya sakata lipo wazi na ndio maana tumeona hadi malalamiko waliyotoa Yanga kumshtaki Feisali wakizungumzia kiini cha mgogoro.

TFF kwenye hii case haijatenda haki na ndio maana imeogopa kuweka hii case public kwasababu watu wangeuliza maswali kwa references za sheria na mwisho wangekuwa exposed.
 
Kesi atashinda tu mchezaji halazimishwi kuichezea club kila mkataba huvunjika kutokana na sababu muhimu..hivyo kama anasababu za kimsingi atashinda kesi ila atalipa fidia kuvunja mkataba of which anao uwezo huo
 
Tff ndio iliingia mkataba na fei hadi iweze kuuvunja,hata huko cas dogo anaenda kuangukia pua
Je wewe unazijua sheria za fifa???wakili wa fei yuko makini sana huwezi jua nini kilitokea je kama yanga walitumia nguvu ya jina lao kuidhoofisha kesi tff??? Kimsingi mchezaji halazimishwi kumaliza mkataba kama pesa ya kulipa fidia ipo?
 
Hoja ya ugomvi na Rais imezalishwa makusudi kwa lengo hilo....,

Ili kuipa uzito hoja yao uko CAS...ila upande wa Hers utahojiwa uko CAS nao ukweli utajitenga na uzushi....

Wamekosa hoja ya kuvunja mkataba kwa vifungu, wanatafuta mazingira kuhalalisha uovu wao ...

Huyo mpemba atashindwa kwa Aibu huko CAS.
Mchezaji kama hajisikii kuchezea timu hakuna cha kifungu anavunja tu mkataba sema awe na uwezo wa kuzibeba risk kama kufungiwa au faini..sasa kama hataki utampeleka jela?? Ebu use common sense basi..ndio maana hii case CAS lazima fei atavunja mkataba tu atalipa na hizo faini then aje mnyama fulstop.
 
Huo ndio muelekeo.....lkn lazima mchakato upite sio hajisikii tu, nani alimtuma asign Mkataba?!

Tunataka waliomrubuni na yeye wote wanywe kikombe kimoja....
 
Huko juu nimelielezea na sasa ngoja nirudie.

Ni kwamba adhabu ya faini inatozwa kulingana na masharti ya faini ya mkataba yanavyosema.

Sasa Yanga inasemekana mkataba wake na Feisali haukuwa na kiwango kikubwa cha faini.

Na hivyo kufanya Feisali ajitose kwasababu ni pesa ambayo ipo kwenye uwezo wake.

Lakini tangu hili sakata limeanza zipo habari kuwa wanaosainishwa mikataba mipya wamewekewa faini kubwa ya pesa ambayo wao wenyewe hawawezi kuthibutu kuvunja mkataba bila kufanya makubaliano.
Unaeleza vizuri sana maelezo yako. Sijui kwanini jamaa hajakuelewa tokea mwanzo
 
Nature ya sakata lipo wazi na ndio maana tumeona hadi malalamiko waliyotoa Yanga kumshtaki Feisali wakizungumzia kiini cha mgogoro.

TFF kwenye hii case haijatenda haki na ndio maana imeogopa kuweka hii case public kwasababu watu wangeuliza maswali kwa references za sheria na mwisho wangekuwa exposed.
Sakata lipo wazi, kwa maana ya kuongelewa. Lakini content husika ndio hazipo wazi.

Kinachoongelewa, ni tofauti na uhalisia
 
Huko juu nimelielezea na sasa ngoja nirudie.

Ni kwamba adhabu ya faini inatozwa kulingana na masharti ya faini ya mkataba yanavyosema.

Sasa Yanga inasemekana mkataba wake na Feisali haukuwa na kiwango kikubwa cha faini.

Na hivyo kufanya Feisali ajitose kwasababu ni pesa ambayo ipo kwenye uwezo wake.

Lakini tangu hili sakata limeanza zipo habari kuwa wanaosainishwa mikataba mipya wamewekewa faini kubwa ya pesa ambayo wao wenyewe hawawezi kuthibutu kuvunja mkataba bila kufanya makubaliano.
Kama faini inatozwa kulingana na masharti ya mkataba, na Yanga wanasema kifungu kinachosema arudishe signing fee na mshahara wa miezi mitatu, inabidi kiambatane na vifungu vingine, huoni kama wako sahihi? Maana mkataba hujauona
 
Sheria inayoamua adhabu ya faini inatoka FIFA, ila kiasi cha adhabu kinatazamiwa kutoka kwenye mkataba
 
Sakata lipo wazi, kwa maana ya kuongelewa. Lakini content husika ndio hazipo wazi.

Kinachoongelewa, ni tofauti na uhalisia
Ndio hoja yangu ambapo mara zote naituhumu TFF

Kuiweka hii case gizani kuna viashiria vingi vya ukandamizaji haki kwa upande wa Feisali
 
Sheria inayoamua adhabu ya faini inatoka FIFA, ila kiasi cha adhabu kinatazamiwa kutoka kwenye mkataba
Kama ni hivyo, basi angeishitaki Yanga direct kule cas. Ili kupunguza mlolongo na Kona kona
 
Ndio hoja yangu ambapo mara zote naituhumu TFF

Kuiweka hii case gizani kuna viashiria vingi vya ukandamizaji haki kwa upande wa Feisali
Tatizo umeweka akilini mwako kuwa anayeonewa ni Fei. Sijajua hiyo inatokana na wewe kuwa shabiki wa Simba,au kuna some key informations unazijua kuhusu ili sakata.

Huyo Fei mwenyewe hayuko wazi. Hoja zake zina badilika kila kukicha. Kama anaongea ukweli, kwanini ukweli wake una versions tofauti tofauti?
 
Kama ni hivyo, basi angeishitaki Yanga direct kule cas. Ili kupunguza mlolongo na Kona kona
Sio kila Case lazima ianzie CAS, hususani kesi ambayo inaweza kusikilizwa kwenye shirikisho
 
Tatizo umeweka akilini mwako kuwa anayeonewa ni Fei. Sijajua hiyo inatokana na wewe kuwa shabiki wa Simba,au kuna some key informations unazijua kuhusu ili sakata.

Huyo Fei mwenyewe hayuko wazi. Hoja zake zina badilika kila kukicha. Kama anaongea ukweli, kwanini ukweli wake una versions tofauti tofauti?
Nimeonesha kupitia references za kesi zilizowahi kutokea zinazofanana na Feisali

"When considering the consequences of terminating a contract, a player cannot remain employed by the club with which the contractual relationship has been term any circumstances (whether the termination was with just cause or without just cause)

Sasa unaamuaje kuwa Feisal bado ni mchezaji wa Yanga wakati tayari kulikuwa na majaribio ya kuvunja mkataba?

Sijui uneelewa vizuri hapo pointi yangu?
 
Back
Top Bottom