Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Huko juu nimelielezea na sasa ngoja nirudie.Labda ngoja nikuulize swali, hiyo adhabu unayosema, ni kitu gani kina determine amount ya adhabu? Mfano Hakan alitozwa £100k. Ni kitu gani kina determine amount anayotozwa mchezaji?
Ni kwamba adhabu ya faini inatozwa kulingana na masharti ya faini ya mkataba yanavyosema.
Sasa Yanga inasemekana mkataba wake na Feisali haukuwa na kiwango kikubwa cha faini.
Na hivyo kufanya Feisali ajitose kwasababu ni pesa ambayo ipo kwenye uwezo wake.
Lakini tangu hili sakata limeanza zipo habari kuwa wanaosainishwa mikataba mipya wamewekewa faini kubwa ya pesa ambayo wao wenyewe hawawezi kuthibutu kuvunja mkataba bila kufanya makubaliano.