Jason Derulo akubali kufanya kazi na diamond baada ya kupost kupitia insta story yake

Jason Derulo akubali kufanya kazi na diamond baada ya kupost kupitia insta story yake

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Komasava ya diamond inazidi kumpa mashavu zaidi baada tu ya chriss brown kuucheza wimbo wake na kuwa gumzo duniani kutokana na ukubwa wa breezy. Jason derulo amekubali kufanya wimbo na diamond kwenye kipindi hiki ambacho ngoma yake ya kovasava ikishika chart kila kona.

Ukiachana na Derulo msanii mwingine ambaye ni rapa mkali wa marekani swalee ameomba kuweka verse kwenye wimbo huo wa komasava.Wimbo huu umekuwa mkubwa ukiwa hauna video yake.

Faida ya kuwekeza kwenye mziki unamlipa sana
 
Diamond Platnumz is the best artist ever to emerge from the land of Nyerere and Magufuli.
 
JASON DERULE NI MR NICE WA USA ILA BADO HUYU DOMO AJAJUA KUWA WASANII GANI WA ULAYA KUDILI NAO WALIO HOT KWENYE GRAMMY NA BILLBOARD
 
JASON DERULE NI MR NICE WA USA ILA BADO HUYU DOMO AJAJUA KUWA WASANII GANI WA ULAYA KUDILI NAO WALIO HOT KWENYE GRAMMY NA BILLBOARD

Hapana Nakataa. Jason sio wa muda mrefu kama mr nice, Jason kaanza kuvuma 2008. Jason derulo ni kama Jay Melody wa USA.
 
Back
Top Bottom