Jasusi Honda ndani ya mpango wa Congo

Aise ni nouma sana, mi naona bora hata jogoo anamuridhisha jike kuliko hii ya kuchungulia tu na kupotea.
Labda kweli mambo mengi, lakini kiukweli anatukata stimu sana.
Huo ndio ukwel, sema tuwe wavumilivu kesho atatupa kama yote hawezi tubania kama Leo
 
Nimebana pumzi nisi comment nimeshindwa Kudo we noumaaa....hatariiiii!

Hongera sana kwa utunzi mzuri.
 
Kwani huyu jamaa akitoa riwaya anacheleweshaga inayofuata kama hivi? Manaake mi naona kama anafanya makusudi si kwa kutukalisha muda wote huu afu anatoa moja tu.
Hivi huwa mnataka iwekwe vipande vingapi ili mridhike?

Hata vikiwekwa vitano hata kumi bado utataka vipande zaidi labda siku ukiona neno TAMATI!!

huwa sipendi kujibu watu ila lazima tuwekane sawa.
Watu kama nyinyi mnakatisha sana tamaa.

Inabidi mjue hii ni kama hisani tu mana nina kazi zingine, hivyo muda ukipatikana tunaburudishana kama hivi sasa wewe ukitaka iwe kama utakavyo unakosea sana.

Ukiitaka yote nunua!!!
 
Kama umeshaamua kutenda wema kwa kutuburudisha, fanya tu kwa moyo bila kujali anayekukatisha tamaa, usingoje shukrani mkuu we fanya tu kwa kujitolea kama ulivyoamua, wa kukukatisha tamaa hawawezi kukosa.
 
Hivi hii picha ya Remmy niliyonayo mimi na inafanana na ya kwenu? Mtoto flani mkali mweusi, mrefu, sura ya kitutsi na mchafu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Weka sehemu zaidi ya tatu kwa siku we vipi?

Kwa sababu wewe ndo unapost hii simulizi usitake sisi wasomaji tukulambe miguu. hutaki unaacha. ukipost tunakwambia fanya tunavyotaka sisi maana bila wasomaji hata wewe unaadhirika.

Mtu unapost halafu unaanza kuturingisha kwa kisingizio Cha kazi Sasa si ufanye hizo kazi zako??

Acha kutuchezea na sisi tunapoteza muda wetu kusoma hii simulizi yako kwa hiyo tuheshimiane.

Ingependeza Kama ungekuwa hujibu malalamiko ya watu lakini kwa kuwa unajibu na ndani ya majibu yako kuna kutaka ubembelezwe ndo na Mimi imebidi nitoe povu.


NB. sijakutukana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hii picha ya Remmy niliyonayo mimi na inafanana na ya kwenu? Mtoto flani mkali mweusi, mrefu, sura ya kitutsi na mchafu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Remmy ni mtoto fulan hivi mkali mkali akipiga poda na mekapu Simbi akasome
 
Unanilipa sh ngapi ili nifanye unavyotaka wewe? Familia yangu utailisha wewe?

Acha upopoma aisee afu jaribu kuheshimu mawazo ya mtu, na pia ukiona naringa basi acha kufuatilia kwani uliitwa kuja kusoma?

Yani niliemjibu kanielewa afu wewe ambae hata koment ulikuwa hutoi unatoa povu si ukorofi huo ni nini?

Ukiona nakuchelewesha nunua kitabu kipo sokoni.
 
Comment huwa natoa Tena Sana.


Haya naomba link nikinunue hicho kitabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kumekucha, tusubiri uhondo mpaka saa ngapi?
 
NIISOME SAANGAPI SASA MIE?
 
Unavuta bangi za kutoka mkoa gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…