Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Binafsi sikutegemea kbs kukutana na Ile thread!
Watu waliokua na malengo ya mbali wakiachana aiseee! Ni kamzozo kwa kwel
HAwa ndio mbwa zaidi katika hekaya za biblia.Mapenzi waachieni Adam na Hawa tu.
Kiwanda Cha UbuyuAcheni kuzusha, niko hapa na nimesema sababu mwenyewe.
Hayo mengine ni uzushi tu, ila kama yanawafurahisha endeleeni kufurahi.
Haki sawa kwa wote 🤣✌🏽
Lete Maneno
Nywila
Jasusi aliinjoi, that's the bottom line. Sisi wanaume tukila chakula kitam tunafurahi. Sasa kama mwamba alitafuna vitu vizuri, si ajipige kifuani na kujipa pongezi? Muhimu tu ni vitu vizuri, ndoa atafunga na mwingine...
Ndio nini jamani😂Nywila
Wengi zaidi tumemjulia kwenye story za wasanii na udaku kiburudani.Wengi walimjua kupitia mahusiano hayo ya Jasusi.
Wewe mdaku muongeza maneno.. huna aibu kumtetea nae jasusi alimpenda pia.. na Nifah alimsaidia kupata umaarufu humu kwa asilimia kubwa sanaaa.Kingine ni kuwa kama mjuavyo binti yetu ndio alipenda zaidi kuliko jasusi mbobevu.
Passwords,hivi ni jina na mwaka wa kuzaliwa?Ndio nini jamani😂
Sasa Robert Heriel Mtibeli mbona unachat kwenye mkesha? Unatafuta upako ama unainadi JF huko?
Alimtumia au walitumiana!Nifah siwajui hata ila kiukweli wewe ndio ulimpenda sana jasusi,yeye hakuwa kivile inaonyesha hivyoo . Wahenga walisema usipende sana usije pata ugonjwa wa moyo. Bora awe mwanaum sio ke. Huyu anawake alikuwa anakutumiazź tu
Unanichanganya😂Passwords,hivi ni jina na mwaka wa kuzaliwa?
Ni kweli hatujakuelewaMadeem bana, Kila siku nawaambia.
Mwanaume Huwa haoi mwanamke anayejua kabisa kua Amewahi kuliwa na FULANI.
NA NDIO maana waliowahi kuoa Wanawake wa hivo, Huwa wanaishi na wasiwasi sana .
Mwanaume yupo Radhia akoe Malaya asokua kaliwa na Akina nani ila anajua kaliwa.
Ila atakua mgum kuoa mwanamke anayejua kabisa kaliwa na Fulani.
Najua hamtanielewa.
Wengi zaidi tumemjulia kwenye story za wasanii na udaku kiburudani.
Wewe mdaku muongeza maneno.. huna aibu kumtetea nae jasusi alimpenda pia.. na Nifah alimsaidia kupata umaarufu humu kwa asilimia kubwa sanaaa.
watu wana exaggerate sana mambo🚮Alimtumia au walitumiana!
Kumpenda mtu sanaa sio dhambi
Mpumzisheni mwenzenu kaleta story yake kwa upendo tu.