Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa

Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa

Binafsi sikutegemea kbs kukutana na Ile thread!

Watu waliokua na malengo ya mbali wakiachana aiseee! Ni kamzozo kwa kwel

Inauma sana.

Sema binti anaonekana alikuwa mwaminifu na kajitoa Mno. Lakini jasusi kazingua.
Najua wanawake wana matatizo ya hapa na pale lakini wakikupenda wanachizika
 
Jasusi aliinjoi, that's the bottom line. Sisi wanaume tukila chakula kitam tunafurahi. Sasa kama mwamba alitafuna vitu vizuri, si ajipige kifuani na kujipa pongezi? Muhimu tu ni vitu vizuri, ndoa atafunga na mwingine...
 
Madeem bana, Kila siku nawaambia.

Mwanaume Huwa haoi mwanamke anayejua kabisa kua Amewahi kuliwa na FULANI.

NA NDIO maana waliowahi kuoa Wanawake wa hivo, Huwa wanaishi na wasiwasi sana .

Mwanaume yupo Radhi akaoe Malaya asojua kaliwa na Akina nani ila anajua kaliwa.

Ila atakua mgum kuoa mwanamke anayejua kabisa kaliwa na Fulani.

Najua hamtanielewa.
 
Jasusi aliinjoi, that's the bottom line. Sisi wanaume tukila chakula kitam tunafurahi. Sasa kama mwamba alitafuna vitu vizuri, si ajipige kifuani na kujipa pongezi? Muhimu tu ni vitu vizuri, ndoa atafunga na mwingine...

Sema Nifa akikutana na Watibeli ninamshauri awe mnyenyekevu. Atakula Maisha
 
Nifah siwajui hata ila kiukweli wewe ndio ulimpenda sana jasusi,yeye hakuwa kivile inaonyesha hivyoo . Wahenga walisema usipende sana usije pata ugonjwa wa moyo. Bora awe mwanaum sio ke. Huyu anawake alikuwa anakutumiazź tu
Alimtumia au walitumiana!
Kumpenda mtu sanaa sio dhambi

Mpumzisheni mwenzenu kaleta story yake kwa upendo tu.
 
Madeem bana, Kila siku nawaambia.

Mwanaume Huwa haoi mwanamke anayejua kabisa kua Amewahi kuliwa na FULANI.

NA NDIO maana waliowahi kuoa Wanawake wa hivo, Huwa wanaishi na wasiwasi sana .

Mwanaume yupo Radhia akoe Malaya asokua kaliwa na Akina nani ila anajua kaliwa.

Ila atakua mgum kuoa mwanamke anayejua kabisa kaliwa na Fulani.

Najua hamtanielewa.
Ni kweli hatujakuelewa
 
Wengi zaidi tumemjulia kwenye story za wasanii na udaku kiburudani.

Wewe mdaku muongeza maneno.. huna aibu kumtetea nae jasusi alimpenda pia.. na Nifah alimsaidia kupata umaarufu humu kwa asilimia kubwa sanaaa.

Huko kwenye udaku wengi hawafiki
Stori za bold, siasa ndio wengi tumemjulia huko.
Udaku wengi hatuingii
 
Back
Top Bottom