Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa

Nifah siwajui hata ila kiukweli wewe ndio ulimpenda sana jasusi,yeye hakuwa kivile inaonyesha hivyoo . Wahenga walisema usipende sana usije pata ugonjwa wa moyo. Bora awe mwanaum sio ke. Huyu anawake alikuwa anakutumiazź tu
Kajifunze kwanza kuandika ndio utoe ushauri.

Wanawake sijui Huwa mna vichwa Gani.
 

Oya!

Kikubwa na cha muhimu tuwatie nguvu ndugu zetu hawa, wajue kuwa migogoro na changamoto za kwenye mahusiano ya mapenzi, ndio mahusiano yenyewe, ndio mapenzi yenyewe.

Ikiwapendeza, huko tuendako, wakimaliza tofauti zao, wasione hatari kusonga mbele na jambo lao.

Binafsi nasema hivi, wajitafute, wakijipata wasione tabu kumaliza tofauti zao, kisha wakaze mwendo pamoja. NDIO UKOMAVU HUO.

Migogoro na misukosuko ndio mahusiano, ndio mapenzi. Ndio maisha.

Meno ya utoto hayaoti mpaka mtoto apate homa, aharishe na kutapika...kitaalamu inaitwa "teething syndrome". Ni kawaida.

Nifah Jasusi
 
Unaongea ushuzi bila kujali mwenzako atajisikiaje, au wewe ni mwanaume?

Ningekushushia essay sema leo Naanza mwaka na Bwana.
 

Ukiitaka Ndoa mapenzi kuyapata sio lelemama.
Ukiyataka mapenzi ndoa ni kama unakunuwa uji tuu
 
Leo ume us master🙏💪
 
Ukweli mchungu huo.

Kama njemba iko jf na imemjulia jf ni bora angebaki na huyo jasusi akaolewa 2 yrs later kuliko kugawa utamu kwa njemba nyingine na nyingine na nyingine kwa uongo wa aina moja( mimi sio kama wale).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…