Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa

Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa

Madeem bana, Kila siku nawaambia.

Mwanaume Huwa haoi mwanamke anayejua kabisa kua Amewahi kuliwa na FULANI.

NA NDIO maana waliowahi kuoa Wanawake wa hivo, Huwa wanaishi na wasiwasi sana .

Mwanaume yupo Radhia akoe Malaya asokua kaliwa na Akina nani ila anajua kaliwa.

Ila atakua mgum kuoa mwanamke anayejua kabisa kaliwa na Fulani.

Najua hamtanielewa.
Dah bro umeongea kitu flani very sensitive sana aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado nipo kwenye Mkesha wa "Vuka na chako"

Habari za nifa zimenishtua mno. Sikutegemea habari hii hasa kwa siku ya leo.
Unajua nifa alikuwa anampenda sana Jasusi. Yeye ndiye aliyejivunia mahusiano hayo mara kwa mara humu JF. Wengi walimjua kupitia mahusiano hayo ya Jasusi. Ukiyaita mahusiano ya kijasusi hutokuwa unakosea.

Wale wenzangu na miye wazee wa kuchungulia pm za Wadada tulifunga breki kwenye Pm ya Nifa kwani kwa sisi wataalamu wa mapenzi tunajua kabisa mapenzi yakikolea kwa kiwango cha juu kabisa si ajabu wapenzi kubadilishana simu na password. Hiyo ikaturudisha nyuma kwa kuhofia jasusi ana-access na account ya Nifa.

Wapo waliofurahishwa na habari hizo. Wapo pia waliohuzunishwa.
Nimewasiliana na jasusi yeye kwa uchovu kabisa alinijibu kuwa imeisha! Imeisha Mtibeli.
Nikamwuliza shida nini, akaniambia kumbe walikubaliana mwaka huu warasimishe. Na kama hawatarasimisha basi binti atachukua uamuzi mgumu.

Kuna mdakaji, mdakuzi, na mdukuzi. Kwenye mambo ya ujasusi bhana.
Jasusi kazidiwa kete na mojawapo hapo.
Ilipohitimu mwezi wa nane mambo yakawa mambo. Mojawapo hapo juu akamzidi jasusi.

Hata hivyo Jasusi kwa nilivyomsikiliza, taarifa hizi hazimuumi sana. Kingine ni kuwa kama mjuavyo binti yetu ndio alipenda zaidi kuliko jasusi mbobevu.

Ngoja tuendelee na nyimbo hapa kwenyw mkesha
Miaka HII WANAUME TUMEBAKI WACHACHE SANA. YAANI MTU KABISA UNAKUJA ANZISHIA UZI UHUSIANO WA MTU MWINGINE, ARE YOU NORMAL? NI AIBU HATA KUZUNGUNZIA. LENGO NINI? UONEKANE UPO KARIBU NA MTALAKA? THEN? WANAUME WAZAMANI ILIKUWA HUWEZI JADILI MAHUSIANO YA MTU MWINGINE. ULIKUWA MWIKO KABISA.
 
Wewe sio Chizi Maarifa 🥂😂
 
Zamani mlichukuliwa utumwani na kufanywa makoloni ndio mnajiona mlikuwa wanaume?
Embu to UCHIZI hapa
 
Alimtumia au walitumiana!
Kumpenda mtu sanaa sio dhambi

Mpumzisheni mwenzenu kaleta story yake kwa upendo tu.
Mnanipumzishaga mie au hukumbuki vizinga hawa hawa waliokuwa wanaka vigroup kunigawanya kama bahari ya shamu na leo huyu ndio kayai au kakuku lazima asemwe sio yeye tu humu wengi wanalazimisha kupendwa nje kuna wanaume wengi wanasifa njema waelewa acheni kulazimisha humu halafu wewe umemuacha mtoa mada unanirukia mie unashida gani ukweli usisemwe ndio nasema tena humu acheni kulazimisha watu wengi wameoa ni matapeli haya
 
Back
Top Bottom