Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
...😂😂😂...Kiboko ya bashite.
Walikua wanamuhofu nani?Huyu jamaa noma alifanya ziara na waziri mkuu wa Israel Mashariki ya kati watu na vyombo vya Habari wanakuja kujua mwezi mmoja baada ya kumaliza shughuli iliyo wapeleka huko 😂😂
Haiwezekani akawa anajua siri zote za dunia.Siri zote za dunia anazijua hyo bwege. CIA ikishugulikia maswala ya intelijensia ya dunia..yaan outside US borders na fbi ikiwa ni maswala ya ndan ya USA
Abuu MazeenWalikua wanamuhofu nani?.
Ni kama Shin Bet na Mossad kwenye taifa teule.Siri zote za dunia anazijua hyo bwege.....CIA ikishugulikia maswala ya intelijensia ya dunia..yaan outside US borders na fbi ikiwa ni maswala ya ndan ya USA
Mwamba ni myahidi asili Israel overNi kama Shin Bet na Mossad kwenye taifa teule.
Hahahahah sureJasusi mbobezi hatangazi siku yake ya kuzaliwa.
Yani kashindwa kitu kidogo sana.Hahahahah sure
Tanzania Kuna mmoja aligombea urais nae nae anaitwa kachero mbobezi
Cha ajabu maburungutu yake hela yalidakwa liairport
Tuwekee picha za bank account zako tukuamini. Screen shots tu wala siyo ngumu. Badala ya porojo na maneno mengiYani kashindwa kitu kidogo sana.
For q small fee ningemuingizia hela zake zote bila kuhitaji kuzibeba airport.
I am talking shell companies, Wall Street power moves, Cayman Island addresses, the works.
Panama Papers style!
I could, but I have professional standards and ethics.
Kwanza kabisa umeelewa nilichoandika?Tuwekee picha za bank account zako tukuamini. Screen shots tu wala siyo ngumu. Badala ya porojo na maneno mengi