Fao La Kujitoa
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 396
- 966
Mkuu acha jazba weka screen shots za financial status tukuamini kuliko kujigamba. Siyo ngumu kufanya hivyo. Be brave to do that broKwanza kabisa umeelewa nilichoandika?
Mbona unahoji jambo ambalo halina uhusiano hata kidogo na nilichoandika?
Unajua kusoma kwa ufahamu? Au unabiringita kama guluguja ngumbaru asiye ubongo wala uti wa mgongo tu?