Doctor Mama Amon
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 2,089
- 2,725
- Thread starter
-
- #81
Hakuna ulichojibu
Jibu ni kuweka IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu still ikaweka mgawanyo wa mapato. Ni bora ungesema tu sina jibu
Hiyo ni opinion yako. Opinion yako sio jibu la swali ukiloulizwa. Pekeka hiyo opinion yako kwa Dubai huko wakujibu.Nani kakwambia kwamba IGA zote ni identical?
Each case has to be argued in isolation.
We have a stable legal and political framework.
Uwekezaji wa bandarini za Tanzania hauhitaji IGA, as shown above.
Kwanza IGA yetu inahusu Bandari peke yake?Ungetuliza akli yako ungegundua kuwa swali lako linafutika kutokana na jibu la swali hili: IGA inahitaji kwa ajili gani katika uwekezaji wa bandari?
Nature ya swali lako ilikuwapo hapa, kwamba IGA siku zote, duniani kote, huwa haziweki mgawanyo wa mapato na kiasi kinachowekezwa.N
Nimetengeneza swali langu purposely kuelimisha watu juu ya upotoshaji unaofanyika.
IGA yetu imeweka nafasi ya kuingiwa kwa HGA zitakazoweka rights za kila upande. ikiwemo masuala ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato.
Unaposema mkataba mbovu eti haujaonesha mgawanyo wa mapato ndo hapo unaulizwa ili uweke ushahidi wako wa kuleta mkataba uliosema kutakuwa na HGA na bado ukaelezea mgawanyo wa mapato.
Alichofanya mjibu hoja ni kupuyanga sio kutoa jibu la kilichoulizwa.
Hili ndio tatizo lake kuu, anachukulia IGA zote duniani zinafanana, sijui ametumia kanuni, sheria, au utaratibu gani kuja na huo mtazamo wake?!Nani kakwambia kwamba IGA zote ni identical?
Each case has to be argued in isolation.
We have a stable legal and political framework.
Uwekezaji wa bandarini za Tanzania hauhitaji IGA, as shown above.
Kwanza IGA yetu inahusu Bandari peke yake?
Umeshindwa hata kutafsiri swali languNature ya swali lako ilikuwapo hapa, kwamba IGA siku zote, duniani kote, huwa haziweki mgawanyo wa mapato na kiasi kinachowekezwa.
Hapo swali la kwanza likawa, hiyo sheria au kanuni au utaratibu, uliutoa wapi? kwasababu kama ni jambo linalotambulika ulimwenguni kote, basi lazima pawepo na chanzo/sheria za kimataifa/kanuni.
Kinyume na hapo, kwa kushindwa kutuonesha, basi ukubali, kama hiyo sheria haipo, nawe hujui IGA zote zilizosainiwa hapa duniani ziko vipi, hata kama ulibahatika kuziona mbili au tatu, lakini usi generalise kwamba ndio zote duniani ziko hivyo.
Hata kama umeanza kuruka ruka, ok, now tuambie tena, ni sheria ipi inayokataza IGA kuonesha mgawanyo wa mapato na kiasi kinachowekezwa hapa duniani, hata kama patakuwepo na HGA mbele ya safari?Umeshindwa hata kutafsiri langu langu
Ngoja nikusaidie
Ninachomaanisha hapa ni kama IGA inatoa nafasi ya kuingiwa wa HGA kwa nini IGA ioneshe mgawanyo wa mapato wakati HGA ndo itahusu mradi mahsusi?
Kwa akili yako hiyo tafsiri hapo ni Bandari tu? Special economic zones ni Bandari?Ndiyo.
Inahusu bandari a baharini,
Inahusu bandari za kwenye maziwa, na
Inahusu bandari za nchi kavu
Nani ameruka. Acha kuhamisha magoli. Jikite kwenye hoja.Hata kama umeanza kuruka ruka, ok, now tuambie tena, ni sheria ipi inayokataza IGA kuonesha mgawanyo wa mapato na kiasi kinachowekezwa hapa duniani, hata kama patakuwepo na HGA mbele ya safari?
Haya maswali yako unaokoteza hapa na pale tu, hayana mantiki, ajabu ndio unajiamini kweli!.
Special economic zones ni Bandari?
Kwanini IGA isioneshe huo mgawanyo wa mapato? ni lazima duniani kwa sheria au utaratibu upi? wewe umewahi kuziona IGA zote zilizosainiwa hapa duniani?Nani ameruka. Acha kuhamisha magoli. Jikite kwenye hoja.
Weer utakuwa chizi. kama wamesema ports kwa nini wakasema special economic zones?Bandari kavu sio special economic zone?
JF kuna wasomi wazuri kuliko mimi nawe.
Nawaachia hukumu juu yako.
Nimefanya utafiti wangu ndo mana nikaja na ilo swali.Kwanini IGA isioneshe huo mgawanyo wa mapato? ni lazima duniani kwa sheria au utaratibu upi? wewe umewahi kuziona IGA zote zilizosainiwa hapa duniani?
Nijibu hayo maswali usiseme nahamisha magoli.
Weer utakuwa chizi. kama wamesema ports kwa nini wakasema special economic zones?
Ulisoma wapi? Nikawachape viboko walimu wako!
Kwa hiyo kumbe shida yako ni waarabu? Umepuyanga kwenye uzi kuleta maneno matupu kumbe shida yako kubwa ni uarabu tu!Waulize waarabu wa Dubai walioandaa draft IGA
Ulitarajia cha maana kutoka kwa wanaumme wanaovaa hijabu?
Lakini mkuu wote mnazunguka zunguka tu ila kimsingi ile document ina utata mkubwa.Hakuna jibu hapo
Hili ndo swali;
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
Alafu soma jibu lake hapo ndo uone alichofanya ni kupuyanga tu, hajatoa jibu lolote