Jawabu kwa Lord Denning: Mikataba mithili ya IGA inayotaja gharama halisi za miradi ipo hapa Tanzania

Jawabu kwa Lord Denning: Mikataba mithili ya IGA inayotaja gharama halisi za miradi ipo hapa Tanzania

Hakuna ulichojibu

Jibu ni kuweka IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu still ikaweka mgawanyo wa mapato. Ni bora ungesema tu sina jibu

Nani kakwambia kwamba IGA zote ni identical?
Each case has to be argued in isolation.
We have a stable legal and political framework.
Uwekezaji wa bandarini za Tanzania hauhitaji IGA, as shown above.
 
Nani kakwambia kwamba IGA zote ni identical?
Each case has to be argued in isolation.
We have a stable legal and political framework.
Uwekezaji wa bandarini za Tanzania hauhitaji IGA, as shown above.
Hiyo ni opinion yako. Opinion yako sio jibu la swali ukiloulizwa. Pekeka hiyo opinion yako kwa Dubai huko wakujibu.

Unajifanya unatoa maelezo mengi kumbe unajibu opposite na ulichoulizwa.

Kama huna jibu sema sina jibu na utoe hiyo opinion yako.
 
N
Nimetengeneza swali langu purposely kuelimisha watu juu ya upotoshaji unaofanyika.

IGA yetu imeweka nafasi ya kuingiwa kwa HGA zitakazoweka rights za kila upande. ikiwemo masuala ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato.

Unaposema mkataba mbovu eti haujaonesha mgawanyo wa mapato ndo hapo unaulizwa ili uweke ushahidi wako wa kuleta mkataba uliosema kutakuwa na HGA na bado ukaelezea mgawanyo wa mapato.

Alichofanya mjibu hoja ni kupuyanga sio kutoa jibu la kilichoulizwa.
Nature ya swali lako ilikuwapo hapa, kwamba IGA siku zote, duniani kote, huwa haziweki mgawanyo wa mapato na kiasi kinachowekezwa.

Hapo swali la kwanza likawa, hiyo sheria au kanuni au utaratibu, kwamba IGA siku zote haiweki hivyo vitu uliutoa wapi? kwasababu kama ni jambo linalotambulika ulimwenguni kote, basi lazima pawepo na chanzo/sheria za kimataifa/kanuni, ili ku-justify hoja yako.

Kinyume na hapo, kwa kushindwa kutuonesha hiyo sheria au utaratibu, basi ukubali, kama hiyo sheria haipo, nawe hujui IGA zote zilizosainiwa hapa duniani ziko vipi, hata kama ulibahatika kuziona mbili au tatu, lakini usi generalise kwamba ndio zote duniani ziko hivyo, hivyo nawe swali lako lina uongo ndani yake.
 
Nani kakwambia kwamba IGA zote ni identical?
Each case has to be argued in isolation.
We have a stable legal and political framework.
Uwekezaji wa bandarini za Tanzania hauhitaji IGA, as shown above.
Hili ndio tatizo lake kuu, anachukulia IGA zote duniani zinafanana, sijui ametumia kanuni, sheria, au utaratibu gani kuja na huo mtazamo wake?!
 
Nature ya swali lako ilikuwapo hapa, kwamba IGA siku zote, duniani kote, huwa haziweki mgawanyo wa mapato na kiasi kinachowekezwa.

Hapo swali la kwanza likawa, hiyo sheria au kanuni au utaratibu, uliutoa wapi? kwasababu kama ni jambo linalotambulika ulimwenguni kote, basi lazima pawepo na chanzo/sheria za kimataifa/kanuni.

Kinyume na hapo, kwa kushindwa kutuonesha, basi ukubali, kama hiyo sheria haipo, nawe hujui IGA zote zilizosainiwa hapa duniani ziko vipi, hata kama ulibahatika kuziona mbili au tatu, lakini usi generalise kwamba ndio zote duniani ziko hivyo.
Umeshindwa hata kutafsiri swali langu

Ngoja nikusaidie

Ninachomaanisha hapa ni kama IGA inatoa nafasi ya kuingiwa wa HGA kwa nini IGA ioneshe mgawanyo wa mapato wakati HGA ndo itahusu mradi mahsusi?
 
Umeshindwa hata kutafsiri langu langu

Ngoja nikusaidie

Ninachomaanisha hapa ni kama IGA inatoa nafasi ya kuingiwa wa HGA kwa nini IGA ioneshe mgawanyo wa mapato wakati HGA ndo itahusu mradi mahsusi?
Hata kama umeanza kuruka ruka, ok, now tuambie tena, ni sheria ipi inayokataza IGA kuonesha mgawanyo wa mapato na kiasi kinachowekezwa hapa duniani, hata kama patakuwepo na HGA mbele ya safari?

Haya maswali yako unaokoteza hapa na pale tu, hayana mantiki, ajabu ndio unajiamini kweli!.
 
Ndiyo.
Inahusu bandari a baharini,
Inahusu bandari za kwenye maziwa, na
Inahusu bandari za nchi kavu
Kwa akili yako hiyo tafsiri hapo ni Bandari tu? Special economic zones ni Bandari?
Screenshot_20230730-102521_PDF Reader.jpg

Naweza kuwa nabishana na Chizi kumbe
 
Hata kama umeanza kuruka ruka, ok, now tuambie tena, ni sheria ipi inayokataza IGA kuonesha mgawanyo wa mapato na kiasi kinachowekezwa hapa duniani, hata kama patakuwepo na HGA mbele ya safari?

Haya maswali yako unaokoteza hapa na pale tu, hayana mantiki, ajabu ndio unajiamini kweli!.
Nani ameruka. Acha kuhamisha magoli. Jikite kwenye hoja.
 
Nani ameruka. Acha kuhamisha magoli. Jikite kwenye hoja.
Kwanini IGA isioneshe huo mgawanyo wa mapato? ni lazima duniani kwa sheria au utaratibu upi? wewe umewahi kuziona IGA zote zilizosainiwa hapa duniani?

Nijibu hayo maswali usiseme nahamisha magoli.
 
Bandari kavu sio special economic zone?
JF kuna wasomi wazuri kuliko mimi nawe.
Nawaachia hukumu juu yako.
Weer utakuwa chizi. kama wamesema ports kwa nini wakasema special economic zones?

Ulisoma wapi? Nikawachape viboko walimu wako!
 
Kwanini IGA isioneshe huo mgawanyo wa mapato? ni lazima duniani kwa sheria au utaratibu upi? wewe umewahi kuziona IGA zote zilizosainiwa hapa duniani?

Nijibu hayo maswali usiseme nahamisha magoli.
Nimefanya utafiti wangu ndo mana nikaja na ilo swali.

Fanya utafiti wako then Jibu swali langu kama lilivyoulizwa!
 
Weer utakuwa chizi. kama wamesema ports kwa nini wakasema special economic zones?

Ulisoma wapi? Nikawachape viboko walimu wako!

Waulize waarabu wa Dubai walioandaa draft ya IGA isiyo na kichwa wala mkia
Ulitarajia kitu cha maana kutoka kwa wanaumme wanaovaa hijabu za kike na kuzibana kichwani kwa kutumia hirizi nyeusi za kishirikina?

1690702742975.png
 
China-Pakistan Economic Corridor (CPEC) walikubaliana ni uwekezaji wa zaidi ya dollar bilioni 46, thamani za mradi mmoja mmoja na pesa za miradi zitatoka katika vyanzo vipi.
 
Waulize waarabu wa Dubai walioandaa draft IGA
Ulitarajia cha maana kutoka kwa wanaumme wanaovaa hijabu?
Kwa hiyo kumbe shida yako ni waarabu? Umepuyanga kwenye uzi kuleta maneno matupu kumbe shida yako kubwa ni uarabu tu!

Finally nimekuelewa!

Ujumbe wangu kwako. Waambie waliokutuma ukaburu hauna nafasi Tanzania.

Case closed!!
 
Hakuna jibu hapo

Hili ndo swali;
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Alafu soma jibu lake hapo ndo uone alichofanya ni kupuyanga tu, hajatoa jibu lolote
Lakini mkuu wote mnazunguka zunguka tu ila kimsingi ile document ina utata mkubwa.

Kama kilichoingiwa ni IGA kwanini isiwe kati ya United Arab Emirates na United Republic of Tanzania. Ni kwanini iwe kati ya Dubai ports ambayo ni taasisi tu dhidi ya United Republic of Tanzania? Na kwanini Bandari za Zanzibar ziwekewe kinga kwenye hiyo document? Je Zanzibar kwa sasa siyo sehemu ya United Republic of Tanzania ambayo ndiyo inatambulika kama nchi?

Na kama ni kati ya Dubai Ports na United Republic of Tanzania kwanini isiwe HGA?

Mbaya zaidi, kama ni IGA inayoruhusu kuwepo kwa HGA kwanini mpaka sheria zetu zilibadilishwa ili kulinda huu uwekezaji? Kuna nini mpaka sheria zibadilishwe wakati kutakuwa na HGA (Kwa mujibu wa madalali?)

Sasa twende kwenye hoja yako sijawahi kuona mkataba wowote ule kati ya nchi na nchi ambao haujaainisha kila kitu kinachohusu rasilimali! Sijawahi kuuona. Hata Jiwe aliingia mkataba na Uganda wa bomba la mafuta na umeainisha kila kitu. Mkataba wa kwanza kati ya unaodaiwa nchi na nchi huu wa Samia umekaa kihuni mno. Huwezi kuutetea mahali popote pale.

Na popote pale duniani mikataba ya IGA inahitaji umakini mkubwa sana siyo wa kuchora chora kama huu wa Samia maana inaweza kusababisha mgogoro mkubwa.
 
Back
Top Bottom