Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Wewe ni mbeya kwan kila anaepost kaumia kapigwa??lbda alijibana na mlango au alianguka!!!angepost chupi ilochanika napo ungesema alibakwa na mumewe!!!hebu tuache ushadidu kwa vitu tusivyovijua
Atakua alimbana na bisibisi LOL...
Wakati wako wote hakuona hizo violence aje azione sa hivi wameachana. Kwanza talaka tatu alishaiandika kwa huyo Gardner
Wewe ni mbeya kwan kila anaepost kaumia kapigwa??lbda alijibana na mlango au alianguka!!!angepost chupi ilochanika napo ungesema alibakwa na mumewe!!!hebu tuache ushadidu kwa vitu tusivyovijua
Hujaona nimeuliza?Alisema kuwa kaumizwa na captain?Au hizo ni hisia zako tu
Amesema mwenyewe kua kaumizwa,ndo maana sijaconclude kama captain ndo alimpa nakoz!! Nimeuliza tu.Wewe ni mbeya kwan kila anaepost kaumia kapigwa??lbda alijibana na mlango au alianguka!!!angepost chupi ilochanika napo ungesema alibakwa na mumewe!!!hebu tuache ushadidu kwa vitu tusivyovijua
Mmepata nini kazi umbeya tu humu
Mmepata nini kazi umbeya tu humu
Sema mapenzi yasiyo na tija sio siasajaydee yuko very wrong coz kama aliweza ku-keep quite all those days kwanini aseme leo? aache siasa zisizo na tija
Kusema ni njia ya haraka ya kumaliza maumivu!jaydee yuko very wrong coz kama aliweza ku-keep quite all those days kwanini aseme leo? aache siasa zisizo na tija