Jay Dee alipigwa na mume wake au?

Jay Dee alipigwa na mume wake au?

Kusema ni njia ya haraka ya kumaliza maumivu!
Dhana za aina hii ndio zinafanya watu waendelee kunyanyaswa na wame zao na wengine wanafikia kuvunjwa miguu na wanaendelea kuvumilia!

Kama Mmeoana ili kuvumiliana ndio tatizo..kama unaona umemshindwa mtoto wa mtu ni bora kumuacha kuliko kumpiga...

Kwa Mawazo haya yako nasikitika kugundua kwamba huko tayari ndugu yako avunjwe miguu lakini aendelee kuvumilia ...aiseee

hoja yangu ni hii ilitakiwa jaydee mapema akiwa kwenye ndoa apaze sauti kuhusu haya manyanyaso na sio baada ya kutoka ndoani.

siungi mkono unyanyasaji kwa wanawake
 
jaydee yuko very wrong coz kama aliweza ku-keep quite all those days kwanini aseme leo? aache siasa zisizo na tija

Anatafta Huruma ya wanajamii hana lolote.anajidai mbabe Mara anakonda cjui komandoo kipensi kumbwe hana kitu anadundwa!!
 
hoja yangu ni hii ilitakiwa jaydee mapema akiwa kwenye ndoa apaze sauti kuhusu haya manyanyaso na sio baada ya kutoka ndoani.

siungi mkono unyanyasaji kwa wanawake[/QUOTE

umenena kweli.
 
sijakosea kusema siasa. anachofanya jaydee sasa ni siasa sio mapenzi

Wanatafta kick hao wakati hawana jipya tena. Jumapili iliyopita nilikua pale mgahawani kwake MOG Bar and Restaurant sina hakika kama bado panachanganya kama enzi za Nyumbani Lounche au nilienda mida na siku mbaya kwani palikua hapasomeki. Nilikua nimekaa na mgeni wangu tu ukumbi mzima.
 
Anatafta Huruma ya wanajamii hana lolote.anajidai mbabe Mara anakonda cjui komandoo kipensi kumbwe hana kitu anadundwa!!

Dadadekii bila hivyo Captain angepelekwapelekwa kishenzi,hawa wanawake wanaojifanya manunda hawa ni sheeda aisee.
 
View attachment 202408
View attachment 202409
View attachment 202410
View attachment 202411

Hapa Komando anaonekana ana mengi sana yamemkaba kooni na pengine huu ni mwanzo na hapa ukiangalia tu haraka haraka mtuhumiwa nambari moko ni Captainnn
Ila kuna usemi usio rasmi pia kwamba mwanamke wa Kikurya bila Kipigo anaona kama humpendi pengine Captain aliapply huo msemo

Ndo maana nimesema aliepost hii kitu ni mbeya tena mshambenga.alishindwa nini kuleta habari nzima kama huyu jamaa aliepost na picha za instagram tukaona alichoandika jide.yaaan unaleta habari nusu alafu unataka watu tukuelewe kama we ulivyoelewa...ebo ..!!!magazeti ya udaku yamewaharibu sana na kuwatoa ufahamu..next time ntakutia makwezi we deo
 
Hahahaaa!! nimecheka kwa nguvu jamani hizo za uso mwe
 
Ndo maana nimesema aliepost hii kitu ni mbeya tena mshambenga.alishindwa nini kuleta habari nzima kama huyu jamaa aliepost na picha za instagram tukaona alichoandika jide.yaaan unaleta habari nusu alafu unataka watu tukuelewe kama we ulivyoelewa...ebo ..!!!magazeti ya udaku yamewaharibu sana na kuwatoa ufahamu..next time ntakutia makwezi we deo

Mbona unatoka povu sana.
Ivi unaelewa maana ya hii alama. '?' ?
Mtoa mada kauliza. Au we wapenda ligi tu zisizo na maana?
 
Anatafta Huruma ya wanajamii hana lolote.anajidai mbabe Mara anakonda cjui komandoo kipensi kumbwe hana kitu anadundwa!!

Hahahahaa!komando kipensi dah! kitambo kweli jamani u have made my day hakyanani
 
Ndo maana nimesema aliepost hii kitu ni mbeya tena mshambenga.alishindwa nini kuleta habari nzima kama huyu jamaa aliepost na picha za instagram tukaona alichoandika jide.yaaan unaleta habari nusu alafu unataka watu tukuelewe kama we ulivyoelewa...ebo ..!!!magazeti ya udaku yamewaharibu sana na kuwatoa ufahamu..next time ntakutia makwezi we deo
Bila picha huelewi?

Halafu Mimi niliuliza tu wala sijaconclude

Nifundishe kukopi picha huko kwenye instagramuni ,
 
Mbona unatoka povu sana.
Ivi unaelewa maana ya hii alama. '?' ?
Mtoa mada kauliza. Au we wapenda ligi tu zisizo na maana?

Ivi ukiuliza ndo hutakiwa kutoa vielelezo ??hakuna povu naongea kiroho saafi sana.tatizo kuna watu wanaharaka ya kutoa post Wawe Wa kwanza jamvini bila kutafiti walau kidogo.alafu unamuegemea MTU mmoja kisa jinsia yake tu.hata mambo ndo yamepelekea Kenya wanaume wameanza kupigwa na wake zao.Huruma ya jamii ikizidi sana mwanaume ataonekana hana hali kisa ktk familia
 
Wakuu wanandoa hawa bado wanapenda atokee wenye ama mwenye huruma awaunganishe tena .mungu mkubwa wanaweza wakarudiana
 
Haaaahaa uyu binti nae ni mpuuzi kumbe???WTF leo hii ndo anaanza kuongea kuhusu domestic violence baada ya kutengana alikua wapi siku zote anasaka attention ya jamii na sympathy tu BTW uyu si anajiita Commando mara Anaconda pumbavuu zake,mavi ya kale hayanuki akomae maana G nae anataka pasu kwa pasu utaelewa tu.

Mambo ya ndoa ni magumu kuelezea! sisi hatujui!!! inamaana alivyoumizwa akajipiga picha ili baadae aje aonyeshe penzi likivyunjika!!! mwanamke mwenye kinyongo hivyi ni shida sana kuishi naye. Gardner anahitaji nishani ya uvumilivu.
 
Hapo na mie ndio niliposhangaa Jide kakaa miaka 9 kwenye ndoa hajapaza sauti leo baada ya mtafarukano wa ndoa ndio anapaza sauti...
 
Nilimuona wa maana alipokuwa amekaa kimya, wanandoa wenye busara hata mkiachana hampaswi kutoa mapungufu yenu nje hasa kwenye mitandao , je na Gadner akianza kutoa mapungufu yake.Ngoja tusubiri mumewe aje aseme yeye hajui majambozi .
 
Back
Top Bottom