J.lee
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,672
- 834
Majukwaa yako mengi.... huku bila umbea jukwaa haliendi
Santeeeeeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majukwaa yako mengi.... huku bila umbea jukwaa haliendi
Nilimuma wa maana alipokuwa amekaa kimya, wanandoa wenye busara hata mkiachana hampaswi kutoa mapungufu yenu nje hasa kwenye mitandao , je na Gadner akianza kutoa mapungufu yake.Ngoja tusubiri mumewe aje aseme yeye hajui majambozi .
Wewe ni mbeya kwan kila anaepost kaumia kapigwa??lbda alijibana na mlango au alianguka!!!angepost chupi ilochanika napo ungesema alibakwa na mumewe!!!hebu tuache ushadidu kwa vitu tusivyovijua
jinsi alivyo na kiburi naona hata mm ningempiga
View attachment 202408
View attachment 202409
View attachment 202410
View attachment 202411
Hapa Komando anaonekana ana mengi sana yamemkaba kooni na pengine huu ni mwanzo na hapa ukiangalia tu haraka haraka mtuhumiwa nambari moko ni Captainnn
Ila kuna usemi usio rasmi pia kwamba mwanamke wa Kikurya bila Kipigo anaona kama humpendi pengine Captain aliapply huo msemo
Ndo maana nimesema aliepost hii kitu ni mbeya tena mshambenga.alishindwa nini kuleta habari nzima kama huyu jamaa aliepost na picha za instagram tukaona alichoandika jide.yaaan unaleta habari nusu alafu unataka watu tukuelewe kama we ulivyoelewa...ebo ..!!!magazeti ya udaku yamewaharibu sana na kuwatoa ufahamu..next time ntakutia makwezi we deo
Hahahahaa!komando kipensi dah! kitambo kweli jamani u have made my day hakyanani
kama ni yeye sheeeeeee nishangae kimasai!!!!
yani mwanaume nimuoe afu anipe kipigo ntatupa zubeda yake nje nae afatie nyuma
Hahahahaha kama ulikuwepo vile, inashangaza ati komandoo kipensi aka anakonda kuchezea kipondo, wakati mwingine wawe waangalifu wanapojipa hizo aka zao
jinsi alivyo na kiburi naona hata mm ningempiga
wakristo hakunaga talaka
Mi nimecheka kweli mwenzio
View attachment 202659
hiyo alobeba ommy ndo zubeda ina majina mengi ila mi najua jina hilo lol....