ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Fanya kumtafuta umlipie gharama za videoHuyu Bwana mdogo anafeli sana, ametoa Hit lakini hataki kutoa Video, Sasa wimbo wake kidogo kidogo unapotea masikioni japo ni mkali sana
Nashindwa kuelewa ni umasikini, kama ni hivo watu wenye Feza zetu hatuwezi kushinda kumpa milioni 30 atoe video.
Sasa wimbo mkali anachelewa kutoa video, atashangaa akitoa video wimbo ushasahaulika
Sasa namtafutaje Mimi tajiri nipo huku kwenye migodi Chunya mdogo wanguKwanini usingemtafuta Jay ukaongea naye unahisi yupo humu
Contact Sina Halaf nipo busy kuangalia biashara zanguFanya kumtafuta umlipie gharama za video
Enzi hizo music unasikiliza Kama stori,siku hizi Sasa!hiyo mitusi hiiiiiiWimbo ukiwa mkali hauitaji video
Bongo fleva tulikuwa tunasikiliza nyimbo tunazipenda msanii hata hatujui anafananaje π
Fanya kuni DM kwenye account yangu ya instagram tufanye business, tukashuti video ya #Nakupenda. Lakini sikuwa na mpango wa kutengeneza video yake mkuu! ila kama una 30M itatosha kabisaContact Sina Halaf nipo busy kuangalia biashara zangu
Yaani pwa pwa pwa pwaaa pwaaa pwaaaEnzi hizo music unasikiliza Kama stori,siku hizi Sasa!hiyo mitusi hiiiiii
Mara Ameloaaaa sijui niniii ameloaaaaYaani pwa pwa pwa pwaaa pwaaa pwaaa
Nikienda raund 3 kabla hujafika pwaaaa π
Halaf ss video na maudhui ya nyimbo haviendani πMara Ameloaaaa sijui niniii ameloaaaa
Sisi huku Ni fujo tu!Halaf ss video na maudhui ya nyimbo haviendani π
Hawamuonagi enrique wimbo kama ni wa mapenzi bas video mapenzi unayaona ni kunyonyana mate mwanzo mwisho π