ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Huyu bwana mdogo anafeli sana, ametoa hit lakini hataki kutoa video. Sasa wimbo wake kidogo kidogo unapotea masikioni japo ni mkali sana.
Nashindwa kuelewa ni umasikini, kama ni hivo watu wenye fedha zetu hatuwezi kushindwa kumpa milioni 30 atoe video.
Sasa wimbo mkali anachelewa kutoa video, atashangaa akitoa video wimbo ushasahaulika.