Jay Melody ni kwamba hana hela ya video? Wimbo ndiyo unaishia hivyo

Jay Melody ni kwamba hana hela ya video? Wimbo ndiyo unaishia hivyo

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Huyu bwana mdogo anafeli sana, ametoa hit lakini hataki kutoa video. Sasa wimbo wake kidogo kidogo unapotea masikioni japo ni mkali sana.

Nashindwa kuelewa ni umasikini, kama ni hivo watu wenye fedha zetu hatuwezi kushindwa kumpa milioni 30 atoe video.

Sasa wimbo mkali anachelewa kutoa video, atashangaa akitoa video wimbo ushasahaulika.
 
Huyu Bwana mdogo anafeli sana, ametoa Hit lakini hataki kutoa Video, Sasa wimbo wake kidogo kidogo unapotea masikioni japo ni mkali sana

Nashindwa kuelewa ni umasikini, kama ni hivo watu wenye Feza zetu hatuwezi kushinda kumpa milioni 30 atoe video.

Sasa wimbo mkali anachelewa kutoa video, atashangaa akitoa video wimbo ushasahaulika
Fanya kumtafuta umlipie gharama za video
 
Kamfate harafu mwambie unataka kumdhamini kushot video hamna atakae kataaa, wenye fweza zenu mzee
 
J MELODY yupo vizuri Dogo,halafu mziki unampendeza
 
Back
Top Bottom