Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

hayatuhusu kumbe jide hana akili eeh
Wewe una akili mbona na wewe yalikushinda na huna mwanamme mpaka leo? Ungekuwa anybody nahisi hata leaflets zingezagaa mtaani.

She is a public figure. A role model to many women. It is only right that she inspires other women through the story of her life.

She is bold and has gone further to shun her dumb ex who publicly alleged humping her for so many years.

The same dumb guy reposted a pic of her and her new beau and added some emoticons.

Who hasnt moved on really?
 
Na wewe unasapoti huo upumbavu wa Jay Dee...???? so sad..
 
>>>>>Huyu mwanamke ana akili robo kijiko...... Yaani ameshauriana na halimashauri ya kichwa chake akaona ni sahihi kupost huu "Upuuzi" wake....
Yaani mie mwenyewe nimebakia mdomo wazi....akili kumkichwa na huyo alie nae sasa akae mkao wa tahadhari kudadeki laasivyo talaka itaenda kuchukuliwa mahakama ya tandale maana manzese tayari kashaweka historia mweeeeh!!!
 
Huyu mwanamke amejidhalilisha sana
 
Yaani mie mwenyewe nimebakia mdomo wazi....akili kumkichwa na huyo alie nae sasa akae mkao wa tahadhari kudadeki laasivyo talaka itaenda kuchukuliwa mahakama ya tandale maana manzese tayari kashaweka historia mweeeeh!!!
mimi nilisema hapa .... ma nigeria ni matapeli.
 
Achana na Marioo huyo, inawauma etiii

Yaani Marioo wote wakiona jide kapost kitu kuhusu G roho inawauma kama wamesemwa wao..

Na bado jide ashushe vichambo kwa Marioo wote kwa kweli!
Huna lolote...
 
For you to support that insane woman..... I always take you for a wise being,,...
Did she publicize her bedroom affairs?

Does she snoop on who her ex is dating?

Insane or not she remains to be in icon to most women.

I will risk being unwise for the sole reason that she has done nothing wrong. To me.
 
Hakuna uzee hapo jide alikuwa 25 na gadner 32 wakati wanaoana
Jackline jide amezeeka hata wakati ule yeye ndo alionekana mzee.kumpenda mdada mzee inahitaji moyo sana labda wamlie tupesa twake tu.
 
Mtu akisha move on ana haja ya kuyaonyesha hadharani hayo makaratasi kweli?

Talk about [not] taking your own advice [emoji23] [emoji23]

Drama queen extraordinaire!!!!
Two personalities fighting within herself!
First personality... strong, invisible but the real one... the real Jide, is still with her ex! Hii ndiyo personality inayomsumbua na ni too powerful to handle!

Second personality... fake, weak, unreal, dramatic but visible to public is trying hard to move on unsuccessfully!

So, what next? Hii fake and unreal personality lazima ijitahidi ku-prove kwamba she's moved on cuz' inatikiswa kweli kweli na real personality!

Na usishangae kwamba muda mfupi kabla ya hiki kituko huenda alimuona mchiz na demu mwingine na katika ku-prove kwamba she doesn't care ndo hapo kakimbilia instagram!!
 
Back
Top Bottom