Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

Wanawake ni walewale hata wafike level gani
Sasa kwa akili yake anaona bonge la kiki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Two personalities fighting within herself!
First personality... strong, invisible but the real one... the real Jide, is still with her ex! Hii ndiyo personality inayomsumbua na ni too powerful to handle!

Second personality... fake, weak, unreal, dramatic but visible to public is trying hard to move on unsuccessfully!

So, what next? Hii fake and unreal personality lazima ijitahidi ku-prove kwamba she's moved on cuz' inatikiswa kweli kweli na real personality!

Na usishangae kwamba muda mfupi kabla ya hiki kituko huenda alimuona mchiz na demu mwingine na katika ku-prove kwamba she doesn't care ndo hapo kakimbilia instagram!!
I just don't see the point of airing out the marriage certificate and the divorce decree but for histrionics!

I mean...if you've moved on those things, especially the marriage certificate should be in the shredder if not shredded yet.

But oh well...whatever floats her boat, I guess.
 
JD bado hajafungua ukurasa mpya, kama bado anaendelea kusoma previous pages
 
Naona bado anaumizwa sana na kuachwa na jamaa. Anatoa chozi la mamba Tu.
Kweli angeyashinda ya nyuma meseji ingesomeka tofauti na ilivyo ya sononi
 
>>>>>Huyu mwanamke ana akili robo kijiko...... Yaani ameshauriana na halimashauri ya kichwa chake akaona ni sahihi kupost huu "Upuuzi" wake....
Ana akili au hana akili?

Any way hayo ndiyo mambo ya baadhi ya wasanii wetu.Nilikuwa namkubali sana lakini kwa hiki alichokifanya.....
Nimeamua kuyameza maneno yangu.Huko alipo ana uhakika gani kama itakuwa ni asali daima?Mambo mengine ni too personal.
 
Kwa Mara ya kwanza nimegundua Marioo ni janga kubwa na limecover kwa kiasi kikubwa hapa Tz kumbe!!...

Humu wanaoponda ni wale wanaume waliokula visenti vya akina Dada wakaambulia za USO, kwa hiyo mmekuja kushusha machungu yenu kwa COMMANDO jide!

Big up ANACONDA endelea kutoa za uso kwa Marioo wote...
 
Anatuaminisha kuwa walioolewa wote ni wapuuzi....dadeki 9 yrs no hata copy ya sura....anatapatapa ili kujifariji.....wenzio wanaacha watoto wakichungulia kaburi km toilet hata asiye na pesa na anaenda........unatukana wazazi wako kwa kuishi kindoa ama kweli nyani haoni kundule.
 
Naomba namba ya Jaydee nampenda sana aje tule rahaa
 
Komandooooo jide i love the way u sing, sauti yako, nakukubali saaana tu nili enjoy na ile NDI NDI NDI hainichoshi!!!
 
Bome-e kwanza hunijui mimi nani na sina haja ya kujitambulisha kwa mpuuzi kama ww, hujui mimi nina ukaribu gani na Gardiner kwa kifupi hatujuani. Alafu mm sio mropokaji kama ww, tuheshimiane humu wote hatujuani, wote tunatumia fake ID.
Heshima gani unayoitaka wakati bado unatukana kenge tu wewe!
 
Back
Top Bottom