Na vile hashiki mimba ndio bas tena, kaabort ujanani hadi mayai yamekauka, mpuuzi kweli huyuAmepanic maskin ningemheshimu Sana kama angekaa kimya
Wewe una akili mbona na wewe yalikushinda na huna mwanamme mpaka leo? Ungekuwa anybody nahisi hata leaflets zingezagaa mtaani.hayatuhusu kumbe jide hana akili eeh
Na wewe unasapoti huo upumbavu wa Jay Dee...???? so sad..Wewe una akili mbona na wewe yalikushinda na huna mwanamme mpaka leo? Ungekuwa anybody nahisi hata leaflets zingezagaa mtaani.
She is a public figure. A role model to many women. It is only right that she inspires other women through the story of her life.
She is bold and has gone further to shun her dumb ex who publicly alleged humping her for so many years.
The same dumb guy reposted a pic of her and her new beau and added some emoticons.
Who hasnt moved on really?
Whats the sad part?Na wewe unasapoti huo upumbavu wa Jay Dee...???? so sad..
usisahau kuleta mrejeshoHeee makubwa! embu ngoja nitafute Thread + comments zake
Yaani mie mwenyewe nimebakia mdomo wazi....akili kumkichwa na huyo alie nae sasa akae mkao wa tahadhari kudadeki laasivyo talaka itaenda kuchukuliwa mahakama ya tandale maana manzese tayari kashaweka historia mweeeeh!!!>>>>>Huyu mwanamke ana akili robo kijiko...... Yaani ameshauriana na halimashauri ya kichwa chake akaona ni sahihi kupost huu "Upuuzi" wake....
Huyu mwanamke amejidhalilisha sanaYaani mie mwenyewe nimebakia mdomo wazi....akili kumkichwa na huyo alie nae sasa akae mkao wa tahadhari kudadeki laasivyo talaka itaenda kuchukuliwa mahakama ya tandale maana manzese tayari kashaweka historia mweeeeh!!!
For you to support that insane woman..... I always take you for a wise being,,...Whats the sad part?
mimi nilisema hapa .... ma nigeria ni matapeli.Yaani mie mwenyewe nimebakia mdomo wazi....akili kumkichwa na huyo alie nae sasa akae mkao wa tahadhari kudadeki laasivyo talaka itaenda kuchukuliwa mahakama ya tandale maana manzese tayari kashaweka historia mweeeeh!!!
Huna lolote...Achana na Marioo huyo, inawauma etiii
Yaani Marioo wote wakiona jide kapost kitu kuhusu G roho inawauma kama wamesemwa wao..
Na bado jide ashushe vichambo kwa Marioo wote kwa kweli!
Did she publicize her bedroom affairs?For you to support that insane woman..... I always take you for a wise being,,...
Since day one, felt very sorry for her manake mtu hupati shida kufahamu kwamba mchizi anataka kumtumia tu dada etu!mimi nilisema hapa .... ma nigeria ni matapeli.
Jackline jide amezeeka hata wakati ule yeye ndo alionekana mzee.kumpenda mdada mzee inahitaji moyo sana labda wamlie tupesa twake tu.Hakuna uzee hapo jide alikuwa 25 na gadner 32 wakati wanaoana
Teh..tehhh...tehhhhh!!tena matapeli makubwamimi nilisema hapa .... ma nigeria ni matapeli.
Two personalities fighting within herself!Mtu akisha move on ana haja ya kuyaonyesha hadharani hayo makaratasi kweli?
Talk about [not] taking your own advice [emoji23] [emoji23]
Drama queen extraordinaire!!!!
We uliona kaondoka na nini,wakati jd alifanya makusudi Ile nyumba kuchukulia mkopo ili wasigawaneUsiropoke vitu usivyojua!Nani kakwambi kaondoka mikono mitupu?