Bekabundime
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 2,017
- 1,733
Ukiona MTU anafanya upuuzi kama huu ujue bado roho ina muuuma sana kwenye penzi hili,mbona Gadna hata muda Wa kuzungumzia hanaDu yngu macho na masikio
Nani amekupa kazi ya kuwa hakimu as thread za JF? Tatizo kubwa la wasanii wanapenda kulazimisha hata yale yasiyo ya kwao. ...and most of the time they and up in big disasters. Dunia hii ina maelfu ya walioachana...hebu sema kwanini divorce ya kwake unataka kuifanya kama ni ya dhahabu? Njaa mbaya sanaHata huelewi ulichochangia,kama umemtukana mtu kwa kufanya kile kisicho sawa na mtazamo wako,hapo unakuwa unafanya nn?
Umegundua makosa yako ndio maana umejibu neno kama neno na sio concept
Ujasiri wa kutembea uchi anao!!!!Wanaotokwa mapovu humu Ni wanaume wenzangu haahahha jamani tuvumilie tu, namuunga mkono jide huo ni ujasiri. Na hakumuiba gadner sbb siyo zombie wa kupelekesshwa, he followed his heart at that particular time.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana unafanana na mleta mada na alopost hyo doc.Kwa Mara ya kwanza nimegundua Marioo ni janga kubwa na limecover kwa kiasi kikubwa hapa Tz kumbe!!...
Humu wanaoponda ni wale wanaume waliokula visenti vya akina Dada wakaambulia za USO, kwa hiyo mmekuja kushusha machungu yenu kwa COMMANDO jide!
Big up ANACONDA endelea kutoa za uso kwa Marioo wote...
Well, achana na makaratasi, nani alipigwa kibuti hadi akafrurastrate akawa analewa hovyo kagonga halafu anakimbizana na matrafiki mjini? Jide or mkojozo?Oh God! We unaangalia makaratasi?
Once Mtaliki always Mtaliki tuu!....Kumbe aliolewa na mtaliki ,kweli hamnazo anaweka hadharani cheti kinachoonyesha mume alieachana naye ni mtaliki.
Huyo bsdo anakumbuka ndoa yake, na anawivu jambo lilishaisha leo ya niniWanaotokwa mapovu humu Ni wanaume wenzangu haahahha jamani tuvumilie tu, namuunga mkono jide huo ni ujasiri. Na hakumuiba gadner sbb siyo zombie wa kupelekesshwa, he followed his heart at that particular time.
Post devorce yako uone kama kuna mtu atashtuka!Mnatoka povu mtu kupost vikaratasi vyake,muombeni awapost ninyi sasa!Nani amekupa kazi ya kuwa hakimu as thread za JF? Tatizo kubwa la wasanii wanapenda kulazimisha hata yale yasiyo ya kwao. ...and most of the time they and up in big disasters. Dunia hii ina maelfu ya walioachana...hebu sema kwanini divorce ya kwake unataka kuifanya kama ni ya dhahabu? Njaa mbaya sana