Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,284
Reaction score
38,364
b9dcf3a723695562528f058fc63d2def.jpg

c73cbce8c83c9cccbc819388e74f43f1.jpg

Hongera Jide kwa kufanya kile moyo unapenda.
 
ila kwa miaka 9, amekoma ubishi. ameumiza moyo, adhabu tosha ya kuiba wake za watu. alipora ndoa ya mwenzake akajaribu kuipalilia kwa miaka 9 akaishi kwa machungu na majuto hadi alipoachia. anatapatapa tu na anayemtumia kwa kimuziki.wanawake mjifunze.
 
Mtu akisha move on ana haja ya kuyaonyesha hadharani hayo makaratasi kweli?

Hahaaaa akili za baadhi ya watu huwa zipo makalioni!!!!

Talk about [not] taking your own advice [emoji23] [emoji23]
Principle za maisha yako hazifanani na mwenzako,kila mtu anaishi anavyojisikia!Wewe ndio unaonekana mpuuzi kulazimisha afanye kila utakacho wewe
 
Hahahaaa...sasa mimi nimemlazimisha nani afanye nitakacho mimi?

Nimemlazimisha wapi?

Na ni nani huyo niliyemlazimisha?
Hata huelewi ulichochangia,kama umemtukana mtu kwa kufanya kile kisicho sawa na mtazamo wako,hapo unakuwa unafanya nn?
Umegundua makosa yako ndio maana umejibu neno kama neno na sio concept
 
Mtu akisha move on ana haja ya kuyaonyesha hadharani hayo makaratasi kweli?

Hahaaaa akili za baadhi ya watu huwa zipo makalioni!!!!

Talk about [not] taking your own advice [emoji23] [emoji23]
That thing is very personal....why sharing with the public? Did we engineer their marriage in the first place? Kumuibia mtu mme sio tatizo? Kaazi kweli kweli
 
That thing is very personal....why sharing with the public? Did we engineer their marriage in the first place? Kumuibia mtu mme sio tatizo? Kaazi kweli kweli
Kiki za kufungia mwaka hizo.

Nadhani anapenda mno drama.

Kama suala tayari lishaisha ya nini tena kuliweka hadharani.

Makes me wonder who hasn't moved on....
 
Wanaotokwa mapovu humu Ni wanaume wenzangu haahahha jamani tuvumilie tu, namuunga mkono jide huo ni ujasiri. Na hakumuiba gadner sbb siyo zombie wa kupelekesshwa, he followed his heart at that particular time.
 
Andika unachotaka ila Mungu achunguzaye mioyo ndo atakushughulikia.
Tutakuona hapa hapa
 
Back
Top Bottom