Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,107
Mpumbavu huyu mwanamke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni ukweli usiofichika kwamba, wanawake mjifunze, wizi wa ndoa za watu huishia kuumiza moyo na kuzeeka pasipo raha kama jd. si ajabu hata hilo tumbo alilogwa kwasababu ya kunyang'anya mume wa mtu. yeye alifikiri maziwa kumbe ni sumu vilevile.ww ulikuwa mshenga wake au mfua chup wake unajuaje kama kamiss mikuno ya capten
Mume anaibiwa?That thing is very personal....why sharing with the public? Did we engineer their marriage in the first place? Kumuibia mtu mme sio tatizo? Kaazi kweli kweli
Zee la kukojoza mtoto?Nilishasema kuwa kumpenda mwanamke mzee inahitaji moyo wa reli ya kati
Jana miss natafuta ulisema umeamua kuachana na jf why mpaka Leo upo??hayatuhusu kumbe jide hana akili eeh
Mtoto kukojoza lizeee nikazi kubwaZee la kukojoza mtoto?
Yo Ndi Ndi Ndi....
jide ana matatizo makubwa sana...anapenda ligi sanaSijaelewa nani hajamove on kati yao, jide labda hajui maana halisi yaku "move on"
Hebu nipite mie.
Polepole mkuu. Ndoa ya Jide na Gardner ni ya Bomani kwa mkuu wa wilaya, sio kanisani. Isingewezekana kufunga ndoa nyingine kanisani kwa sababu Gardner alikuwa mume halali wa mtu, kwa hiyo Jay D alipora mume wa mtu. Kumbuka kwamba cheti cha ndoa ni kina nembo ya serikali, kiwe kimetolewa kanisani ama msikitini whatsoever!huu ni upumba.vu wa kutupwa, unajisifia kwa jambo la aibu hivyo na chukizo kwa Mungu, alipokuwa anaapa katika shida na raha hakujua maana yake??
Sip baya lihivyo, Ana ka mvuto kakeIla sura na umbo hana jamani, havutii kabisaa.. pia hana akili, kama ame move on, ya nn anatangaza mambo yake ya past mitandaoni, anachoongea na anachofanya ni kinyume chake, akome, kamenyoookaaa..!!