Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

ww ulikuwa mshenga wake au mfua chup wake unajuaje kama kamiss mikuno ya capten
ni ukweli usiofichika kwamba, wanawake mjifunze, wizi wa ndoa za watu huishia kuumiza moyo na kuzeeka pasipo raha kama jd. si ajabu hata hilo tumbo alilogwa kwasababu ya kunyang'anya mume wa mtu. yeye alifikiri maziwa kumbe ni sumu vilevile.
 
Ni ishara kuwa yeye ndo KATEMWA kwa mtaji huo bado ana kidonda ambacho kinamuuma na anataka sasa watu tuamininkuwa amewin na anafanya kama kitapo
 
Ni hapo tu, huwa namdharau sana mwanamke. Huyu naye sijui ndo nin sasa hiki, kinahusu nini. Anataka tuprove kuwa na yeye alishawahi kugegedwa au anagegedwa!
 
kumbe huyu dada naye chizi? hivi kwa kufanya hivyo anamkomoa mwenza wake au anataka jamii ione kwamba alikuwa hamhitaji,. kama alikuwa hamhitaji aliwezaje kuishi naye kwa miaka yote hiyo, kwanini anajichukulia sana kwamba amemkomoa. Nampa pole sana hajui kwamba inawezekana mwizie alimwacha siku nyingi sana ila hajui
 
Sijaelewa nani hajamove on kati yao, jide labda hajui maana halisi yaku "move on"
Hebu nipite mie.
 
Ila sura na umbo hana jamani, havutii kabisaa.. pia hana akili, kama ame move on, ya nn anatangaza mambo yake ya past mitandaoni, anachoongea na anachofanya ni kinyume chake, akome, kamenyoookaaa..!!
 
Kwanza m-bayaaa, kakomaa kichizi, then azai, mhuu, hii ilikuwa mtihani kweli kweli kwa kapiteein, maana ukiangalia vyuma vilivyokuwa vinatia timu pale 'nyumbani'.... lazima uingie vishawishini

Na hili la kuweka talaka hewani nahisi anatafuta kiki ya kuanzia mwaka 2017

Maana biashara ni matangazo, na skendo/bad popularity ni mojawapo ya kitu kinachosambaa fasta sana..
 
huu ni upumba.vu wa kutupwa, unajisifia kwa jambo la aibu hivyo na chukizo kwa Mungu, alipokuwa anaapa katika shida na raha hakujua maana yake??
Polepole mkuu. Ndoa ya Jide na Gardner ni ya Bomani kwa mkuu wa wilaya, sio kanisani. Isingewezekana kufunga ndoa nyingine kanisani kwa sababu Gardner alikuwa mume halali wa mtu, kwa hiyo Jay D alipora mume wa mtu. Kumbuka kwamba cheti cha ndoa ni kina nembo ya serikali, kiwe kimetolewa kanisani ama msikitini whatsoever!
 
Ila sura na umbo hana jamani, havutii kabisaa.. pia hana akili, kama ame move on, ya nn anatangaza mambo yake ya past mitandaoni, anachoongea na anachofanya ni kinyume chake, akome, kamenyoookaaa..!!
Sip baya lihivyo, Ana ka mvuto kake
 
Back
Top Bottom