Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani King'asti yaishe basi tuko jukwaa huru na si kila kitu tunaweza kukubaliana lazima kuna mahali tuwe na mawazo tofauti, nimeandika hii post kutokana na historia ya jide. Ukinihukumu kwa 'uswahili' bado si tatizo kwangu lakini jaribu kufuatilia hilo tangazo lisikilize halafu utaniambia ...all in all thanx for sharing
Daah jamaa wewe..! Mbona unatengeneza somthin out of nothing..? Halafu ujue haya ndo mambo ya wanawake na Lady Jay Dee mwanamke vile vile.. Acha bana..
Asavali sana...!!!
Hainizuii kuandika kujisikia ninachotaka kukiandika, mtazamo wako ni huo its OK with me...!!!
Naona wengi mmejikita kwenye kipengele cha ndoa yake na kusahau mengine yote niliyoandika, ni hivi nimeandika nongwa na visasi vya jide kwa yeyote anayetofautiana naye kwa lolote... Jaribuni kutafakari msikimbilie kureply bila kuelewa maudhui
sosoliso sipangani na wewe kwa lolote hapa ni jukwaani tunaanzisha mada ili watu wachangie siwezi kumlimit yeyote kwenye kuchangia chochote, iwe kaponda kasifu au kaunga mkono katoa kijembe katoa maoni yake ni sahihi tu, alimradi havunji sheria na taratibu za jukwaa,Mkuu hiyo ni hulka yake.. Unafahamu kila mtu ana hulka zake ambazo wengine labda zinawakwaza,, Hata wewe una hulka ambazo wengine wanaziona ok but wengine wanaona either its offensive au provocative.. Tatizo hapa ni wewe unashikia bango hulka yake..! Na mbaya zaidi wewe sio mlengwa wa hicho unachokifikiria..
ni mawazo yako tu...!
Kwani mbona aliimba 'UNDERSTANDING' feat TID na 'WANAUME KAMA MABINT'
akiwa na Gadner., wataka tuambia alimuimbia G.
Nimenunua kitabu cha saikolojia leo hii...na nimekutana na huu uzi nimejikuta nacheka...kinaitwa 'Men are from Mars, Women are from Venus'...yani nasoma kwa bidii ili nisiwe like other 'women'...lol
Kuna sehemu wameandika mwanaume akiwa na tatizo anahitaji time to be alone...mwanamke akiwa na tatizo anahitaji shoga wa kumsimulia....
Ni ukweli mchungu...na ndio maana wanawake wengi wambea...unasimulia na yeye anasimulia na yeye anasimulia...sitaki kuwa na hii tabia ya 'kike' aisee...
Hainizuii kuandika kujisikia ninachotaka kukiandika, mtazamo wako ni huo its OK with me...!!!
Naona wengi mmejikita kwenye kipengele cha ndoa yake na kusahau mengine yote niliyoandika, ni hivi nimeandika nongwa na visasi vya jide kwa yeyote anayetofautiana naye kwa lolote... Jaribuni kutafakari msikimbilie kureply bila kuelewa maudhui
Watu kwa kujistukia! Kwani gadner hana kazi? Si mtangazaji? Huyo ni msanii. Whatever kinachomuingizia hela.acha akitumie. Nyie ndo mna nongwa sasa. Ama diamond ule wimbo 'now show how we do ngololo' alikuwa anamfumbia penny kuwa hajui kuniniliu?
Uswahili mzigo.