Jaydee huu ni utoto sana tena sana

Jaydee huu ni utoto sana tena sana

Naona wengi mmeamua kumshambulia bwana mshanajr kwa hoja aliyoileta..
Mm niwakumbushe tuu hata mashuleni mlikua mnachambua vitabu ktk fasihi andishi lakini mlichambua pia maudhui hata ktk fasihi andishi.
Lady Jay Dee nae ni fanani(anafanya kazi ya fasihi) hivyo hapana ubaya/chuki au uswahili mtu kuchambua kazi zake(naamini hata hilo tangazo ni fasihi pia)

So niwaombe msimshambulie mleta mada Bali nanyi chambueni hoja yake kwa kutumia hilo tangazo ili mpinge kwamba anachoamini bwana mshanajr juu ya hilo tangazo si kweli/hakuna mashiko.na sio kukataa kwa maneno mepesi tuu kwamba sio kweli.

Naomba kuwasilisha na naomba samahani kama nitamkwaza mtu.

At least Innocizy umekuja na mchango tofauti which is very constructive mengine yote niliyoandika hayakuzingatiwa imezingatiwa ndoa jambo ambalo linaonyesha ni CASE SENSITIVE halafu sasa mtu anataka kukuita mbea kumbe sasa yeye ndio analeta umbea haswaa
BWT hii mada imepata wachangiaji wengi kwa muda mfupi sana kitu kinachoreflect kuwa wanapenda zaidi kusoma habari za watu wengine kuliko mada zenye kufikirisha siwalaumu kwakuwa ndio binadamu walivyo, tuendelee kufuatilia
 
Last edited by a moderator:
I will take this instance to register my staunch support for the fundamental principle of freedom of expression which, under the thinly veiled guise of decorum, is openly under attack.

Moreover, the vehement centrality of this noble ideal is further strengthened by the fact that I am no particular fan of Jaydee, in fact I detest her talentless lackluster less than church choir drab that passes for singing.

Neverthelss, my love for freedom of expression surpasses my abhorr for Jaydee. Hence, I will support her right to freedom of expression.

As long as it is within reason an doeS not overly encroach on that of others.
 
Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MOG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia na YAHAYA UNAISHI WAPIII
Wenye kujua mafumbo wanajua anamaanisha nini!!! Jaydee ni mtu wa nongwa sana na anapenda visasi kapitiliza, ukigombana naye hakuachi mpaka akutungie wimbo wa vijembe kafanya hivyo kwa wengi tu wakiwemo Ruge, Mwana FA, na sasa vijembe vyote ni kwa mtalaka wake, sio kwenye mitandao kwenye vyombo vya habari na sasa kwenye matangazo yake

Ukiona hivyo ujue yeye ndo aliyebaki na maumivu.

Mwambie life goes on.
 
I will take this instance to register my staunch support for the fundamental principle of freedom of expression which, under the thinly veiled guise of decorum, is openly under attack.

Moreover, the vehement centrality of this noble ideal is further strengthened by the fact that I am no particular fan of Jaydee, in fact I detest her talentless lackluster less than church choir drab that passes for singing.

Neverthelss, my love for freedom of expression surpasses my abhorr for Jaydee. Hence, I will support her right to freedom of expression.

As long as it is within reason an doeS not overly encroach on that of others.

Mimi maimuna lol.. Kiranga pamoja na kwamba mie sijui kilugha hii ngoma imetulia duuh..
 
Last edited by a moderator:
kick ya mgahawa mpya? tumekuelewa mleta mada
 
Wazaramo utawajua tu yaani wanatumia nguvu nyingi kutafuta tafsiri ya vitu ambavyo pengine hata havimaanishi hivyo.

Wazaramo tumkukosea nini?

Taadhima gani inayokufunza ulundike kabila zima kwa tabia fulani dhalili?

Au unakariri uhariri?
 
Nakumbuka hata kipindi anaimba wimbo wa Wanaume kama mabinti, alikua na mahusiano mabaya na Gadner bado hata kipindi anaimba Yahaya alikua keshakorogana na Gadner ila zilikua hazijasambaa kwenye vyombo vya habari na walijitahidi sana kufichaficha hadi maji yalipozidi unga.

Jide ni mwanamke na anazihakisi tabia za wanawake hivyo we mchukulie poa tu. Angekua mwanaume ndo tungeshangaa.
 
Mnh ilikua diamond na sasa ni jide waacheni watoto wa watu watafute ugali...
 
siamini katika hisia, siyo kila jambo linalotokea lazima lilazimishwe lipate tafasiri yake. Naamini hata angeimba wimbo unaohusu "shetani" mngesema kuwa kamaanisha Gardner ni shetani, kitu ambacho c kizuri wala sahihi.
 
I will take this instance to register my staunch support for the fundamental principle of freedom of expression which, under the thinly veiled guise of decorum, is openly under attack.

Moreover, the vehement centrality of this noble ideal is further strengthened by the fact that I am no particular fan of Jaydee, in fact I detest her talentless lackluster less than church choir drab that passes for singing.

Neverthelss, my love for freedom of expression surpasses my abhorr for Jaydee. Hence, I will support her right to freedom of expression.

As long as it is within reason an doeS not overly encroach on that of others.

Sidhani kama umeandika ili ueleweke na wengi, unatufaa tukutume kama nchi kwa negosiesheni ya mpaka na wamalawi.
teh teh teh.
 
mwanamke kama jeydee kuishi naye hata gadner naona ni mvumilivu sana. naomba niishie hapa kwasababu nitamchana hapa hadi damu. bye.
 
Ndugu yangu huyo mtalaka naona ndio anayekubali kupokwa , kabla ya kuandika haya jaribu kuulizia habari zake kwa wanaomjua tangu mwanza na yule mama aliyekuwa akikodisha mikanda ya sinema pale mikocheni hawa wanawake nao wanakuwa na radhi sio wazazi wetu peke yao.
 
I will take this instance to register my staunch support for the fundamental principle of freedom of expression which, under the thinly veiled guise of decorum, is openly under attack.

Moreover, the vehement centrality of this noble ideal is further strengthened by the fact that I am no particular fan of Jaydee, in fact I detest her talentless lackluster less than church choir drab that passes for singing.

Neverthelss, my love for freedom of expression surpasses my abhorr for Jaydee. Hence, I will support her right to freedom of expression.

As long as it is within reason an doeS not overly encroach on that of others.

I missed this Kiranga.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom